LAYIII
ina la
Jerry Muro
sio geni masikioni mwa walio wengi kwani aliwahi kufanya kazi ya
uandishi wa habari za uchunguzi kwa muda mrefu na zilizofanya jina lake
kukua na watu kumtambua,
Jerry ambaye kwa sasa ni mkuu wa idara ya habari ya klabu ya
Dar Es Salaam Young African.
Mwaka 2015 aliamua kuingia rasmi katika siasa kwa kuanza harakati za kutaka kulirudisha jimbo la Kawe kwa chama tawala, Jerry alikuwa ni miongoni mwa makada 21 wa CCM waliojitokeza kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa jimbo la Kawe kupitia kwa chama cha mapinduzi (CCM).
Kwa bahati mbaya kura hazikutosha kumuwezesha Jerry Muro kupata ridhaa hiyo ya kupata nafasi ya kugombea ubunge wa Kawe
kupitia chama cha mapinduzi, ila ameeleza saba