Friday, 1 April 2016

NDUGU WA SAJUKI WAFUNGUKIA TARAKA YA WASTARA

LAYIII
BONYEZA PICHA HAPA KUSKILIZA NA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
WASTARA13
Na Gladness Mallya
KUTOKANA na madai ya kupewa talaka na mumewe Sadifa Juma, ndugu wa aliyekuwa mume wa Wastara Juma, marehemu Sadick Kilowoko ‘Sajuki’, Mohamed Kingochi ‘Mdidi’ amefunguka kuwa ameumizwa na suala hilo kwani walitegemea ndiyo amepata mtu wa kumpa faraja.

ULIJUA JINSI WAUMINI WALIVYO MLIPUA MBONGO MOVIE LULU KIMEMETA

LAYIII
BONYEZA PICHA KUMSKIA MTOTO HAPPY
lulu210
Staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akitoa neno katika Kanisa la Living Water Centre.
Stori: Mayasa Mariwata na Hamida Hassan, Ijumaa
Dar es Salaam: Baada ya hivi karibuni kukiri kanisani kuwa ameokoka na kumkubali Mungu kuwa bwana na mwokozi wake kisha kukengeuka na kupiga picha chafu za nusu utupu, waumini wamemlipua staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani akiwa na biblia) kwa madai kuwa anatia aibu.
TUJIUNGE KANISA LA MAKUTI-KAWE

MABADILIKO KATIKA INSTAGRAM YAMEZUWA HISIA KALI SANA KWA WATUMIAJI

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUMSKILIZA MTOTO HAPPY
https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk
Mabadiliko ya yaliomo katika mtandao wa instagram yamezua hisia kali miongoni mwa watumizi wake.
Mtandao huo una mpango wa kuweka ratiba ya mpangilio wa ujumbe hivyobasi kupanga machapisho kulingana na maslahi ya mtumiaji badala ya kuyapanga kulingana na mda.
Machapisho mengi ya watu maarufu ambao wana wasiwasi kwamba picha zao huenda zisionekane na watu wengi yamewataka wafuasi wao kufungua kitufe cha ujumbe.

SHAROBARO APAGAWISHWA KIMAPENZI NA RIYAMA

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJIUNGA NAMI YOUTUBE USKIE KILICHOJIRI KULE
Taarifa ikufikie kwamba, staa wa kitambo wa Bongo Muvi, Riyama Ally amelipiwa mahari na mpenzi wake ‘sharobaro’ ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Haji Mwalimu ‘Leo Mysterio’ huku mipango kabambe ya ndoa ikiendelea.

HIZI NDIO RECORD LABEL SITA AMBAZO WASANII WAKE WANAFANYA VIZURI HAPA TANZANIA

LAYIII
SeeBait
Record label ni kampuni inayosimamia wasanii ama brand, kuratibu utengenezaji wa nyimbo, video, usambazaji, masoko, promotion na mambo mengine. Record label pia hutafuta wasanii wapya kwa nia ya kuendeleza vipaji vyao.
Nchini Tanzania tumeanza kuona record label mbalimbali ambazo zinafanya vizuri kwa kiasi chake, japo bado hatujafika kule ambako tunatarajia record label zetu zifike. Hapa tumeandaa record label kadhaa ambazo kwa sasa zinafanya poa.

MABESTE NA LISA KUFUNGA NDOA MWEZI WA NANE

LAYIII
Rapper Mabeste amesema anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mchumba wake wa siku nyingi, Lisa aliyezaa naye mtoto mmoja aitwaye Kendrick.
Akiongea katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV, Mabeste alisema:

VANESSA MDEE AMESEMA ANAMWOMBEA JACK PATRICK ATOKE JELA MAPEMA

LAYIII
Mwanamuziki Vanessa Mdee amesema anamuombea Jack Patrick atoke jela mapema.
Jack aliyefungwa jela nchini China baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aliwahi kuwa mpenzi wa Jux, ambaye kwa sasa ni boyfriend wa muimbaji huyo wa Niroge.

NEW VIDEO TEMBA FT JOKATE MWENGERO maromboso-fundi

layiii
https://youtu.be/FmNBsdof0io

KATIKA STORY ZA MASTAA DIAMOND AKIRI KUTOKUWA NA TATIZO NA MSANII YEYOTE AWEKA PICHA YA ALIKIBA NA MR BLUE OFISINI KWAKE

LAYIII

diamond afrima

Diamond amesema hataki kuulizwa tena kama ana bifu na msanii mwingine, amedai hana tatizo na msanii yoyote na ndio maana hata ukienda ofisini kwake utakuta ameweka picha za wasanii wote  hata ambao amekuwa akihusishwa kuwa na bifu nao.

JE ULIJUA KUWA HOTUBA YA TRUMP IMETUMIWA KATIKA FILAMU

LAYIII


Image caption Donald Trump
Wazalishaji wa filamu moja nchini Mexico kuhusu wahamiaji wanaojaribu kuingia nchini Marekani wametoa kipande kidogo cha filamu hiyo ambacho kinatumia hotuba ya bwana Donald Trump kupitisha ujumbe wa filamu hiyo kwamba maneno ni hatari kama risasi.
Sauti iliowekwa katika filamu hiyo ya Kihispania, Desierto ,inemuonyesha bwana Trump akiitaka

WORK FROM HOME YAINGIA KUMI NA TANO BORA

LAYIII
Kama unafatilia muziki wa kizazi cha sasa duniani unaweza kuwa umeshakutana nayo lakini kama hujakutana na hii, nakufahamisha wanaitwa Fifth Harmony na single wamemshirikisha Ty Dolla $ign na ni moja ya video zinazochezwa sana kwenye TV kubwa za burudani duniani, kabla ya hapo walipita sana kwenye masikio yetu na hit single ya ‘worth’ ft. Kid Ink.

advertise here