Saturday, 14 November 2015

SIMULIZI YA AL- SHABAB: WASHAMBULIA BUNGE LA SOMALIA

LAYIII
BONYEZA PICHA KWENDA KATIKA PAGE NYINGINE
https://www.youtube.com/watch?v=FchLBEZdBwwILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Mpenzi mfuatiliaji wangu, wiki iliyopita tuliona jinsi ambavyo mapambano kati ya Al-Shabaab na majeshi ya Serikali ya Somalia yakisaidiwa na yale ya kigeni yalivyokuwa yakipambana. Licha ya vipigo vikali kutoka kwa majeshi ya Afrika, wapiganaji hao walishambulia Kambi ya Wakimbizi ya Daadab iliyopo kwenye mpaka wa Somalia na Kenya ambayo inahesabiwa kuwa moja ya kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani. SASA ENDELEA…
MWANADADA aliyefahamika kwa jina moja la Mbuva, mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar, hivi karibuni amejikuta akiharibiwa uso wake kwa kumwagiwa mafuta ya moto na shosti wake aitwaye Mama Sofia, kisa kikidaiwa ni mume wa mtu.
BONYEZA PICHA KUONA TUKIO NZIMA
https://youtu.be/FchLBEZdBww
Mbuva, akiwa na majeraha usoni baada ya kumwagiwa mafuta ya moto.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo inadaiwa mama Sofia alimfanyia mwenzake unyama huo akimtuhumu kutembea na bwana wake.Akisimulia ilivyokuwa, Mbuva

MBASHA AFANYA KUFURU

LAYIIII
BONYEZAPICHA YOYOTE ITAKUPELEKA MOJA KWA MOJA KATIKA TUKIO NZIMA 

https://youtu.be/FchLBEZdBwwEmmanuel Mbasha akiwaongoza waimbaji wengine wakitumbuza kwenye sherehe yake hiyo.
Musa Mateja ASANTE Mungu! Mume wa muimba Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameangusha bonge la pati nyumbani kwake Tabata Kimanga Mwisho, jijini Dar, Jumapili iliyopita kama shukrani kwa Mungu kwa kumfanikisha kushinda kesi ya ubakaji iliyokuwa ikimkabili.

HII NDO FULL TIME YA TAIFA STAR VS NIGERIA

LAYIII

Hatimaye mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu fainali za michuano ya Kombe la Dunia2018 zitakazofanyika Urusi kati ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars dhidi ya timu ya taifa ya Algeria Mbweha wa Jangwani ndio umechezwa leo November

UJUMBE MZITO WA SHUKRANI KWA GROUP ZA FACEBOOK ZOTE NA KWINGINEKO

LAYIII
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa wale wote ambao wananipa support katika mwendelezo wa blog yangu ya www.swaxbz.com na kwa wale wote walio subscribe katika  youtube na katika blog hii naomba sapoti zenu zaidi na zaidi kama hujajisajili na blog hiii jisajiri ili niwe nakuunganisha na habari hot kabisa pia kama hujajiunga nami katika youtube jiunge sasa bonyeza picha hii utaenda moja kwa moja katika page yangu ya youtube
 MDADA AVUNJA RECORD YA MWAKA KWA KUCHEZA WIMBO WA SKELEW WA DAVIDO BONYEZA PICHA KUIONA VIDEO YAKE
lhttps://youtu.be/3IfFYSsCOvE
 Pata nafasi ya kuitazama video ambayo mwanamke mmoja kawachanganya majaji mpaka wameshindwa kutoa kauli za mwisho na kusahau kazi yao ya ujaji

advertise here