Tuesday 12 April 2016

SHAMSA FORD KASEMA ALIACHANA NA NAY WA MITEGO KISA MANENO YA WATU ILA KWA SASA AKISEMA WARUDIANE YUPO TAYARI

LAYIII
Ukweli vigodoro haviwezi kuisha dar bonyeza picha hii kushudia vigodoro vingine huko bichi

Baada ya kauli ya rapa Ney wa Mitego kwa mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford kwamba kama anachagua wasichana wa kurudiana naye atakuwa wa kwanza kutokana na ukarimu na mapenzi yake, mrembo huyo ameibuka na kufurahia kauli hiyo.
Shamsa ambaye mara zote alikuwa amepambwa na Bashasha, alidai Penzi lake na rapa huyo lilivunjwa na maneno ya watu.

TANZANIA TUMEPATA MWANAMKE WA KWANZA KUIPAISHA NDEGE AINA YA BOIENG

LAYIII
Huyu amekuwa Rubani wa Kwanza Mwanamke kuipasha ndege aina ya Boieng Tanzania.
Kati ya wanawake wa Kitanzania waliopeperusha bendera yetu vizuri nje ya nchi kielimu ni Kapteni Hilda Wendy Ringo ambaye sasa ni rubani.

Elimu yake ya sekondari aliipata katika Shule ya Tambaza jijini Dar es Salaam na baadaye Chuo Cha Urubani cha Progress Flight Academy cha jijini Pretoria, Afrika Kusini.

Ni mwanamke wa kujivunia katika nchi yetu kwa sababu amekuwa akirusha ndege yaani rubani. Amewahi kuhojiwa na vyombo mbalimbali vya habari nchini na kuhusu kazi yake hiyo anasema:
“Kurusha ndege ni jambo zuri linalofurahisha.”

BAADA YA MIAKA KADHAA LADY JAYDEE AKUTANA NA RAY C

LAYIII
Hakika vigodoro haviwezi kuisha dar bonyeza picha hii kushudia vigodoro vingine
Lady Jaydee kakutana Ray C baada ya miaka 6, Kaamua kumuandikia huu Ujumbe.
Kwa mujibu wa Diva wa Muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee, ni kwamba hawakuwahi kuonana na Diva mwenzie Ray C kwa zaidi ya miaka 6.
Sasa juzi wakali hawa wamekutana tena, japo haijawekwa wazi ni wapi lakini furaha ya Jaydee Hit maker wa Ndindindi ilikuwa kubwa kiasi cha kuandika ujumbe mzito Instagram.
“Thank you for visiting me doll( Ray C) A message of Hope: Kila Mtu Anapitia Magumu Katika Maisha

advertise here