Wednesday, 8 July 2015

Beef ya Producer Manecky na Diamond Platnumz ilivyomalizwa.

layiii

ManeckyKwa miaka isiyozidi miwili hakukuwa na amani kati ya Producer wa AM Records Manecky na mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz na ni baada ya Manecky kushutumiwa kuvujisha nyimbo za Diamond ambazo hazijakamilika.

JINSI DEWJI NA PLATNUMZ WALIVO WASILI SINGIDA

LAIII
IMG_7330
Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akishuka kwenye ndege mara tu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Singida.

KOCHA WA BAECELONA KUIONOA TEAM YA TAIFA BRAZIL BRAZIL

LAYIII
Pep Guardiola ni Kocha ambaye anaifundisha Klabu ya Bayern Munich, kwani ana mpango wa kuifundisha Timu yoyote ya Taifa? Dani Alves kafungua haya mengine yaliyokuwa kwenye moyo wa Kocha huyo.
Beki wa pembeni wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Dani Alves amethibitisha dhamira ya kocha wake wa zamani wa klabu hiyo Pep Guardiola kutaka kuinoa timu ya taifa ya Brazil.

Pep Guardiola kuifudisha Timu ya Taifa Brazil? Hiki ndio kilichomwangusha !!

Pep_2178978b
Pep Guardiola ni Kocha ambaye anaifundisha Klabu ya Bayern Munich, kwani ana mpango wa kuifundisha Timu yoyote ya Taifa? Dani Alves kafungua haya mengine yaliyokuwa kwenye moyo wa Kocha huyo.

KUMBE H BABA KWENYE KABUMBU YUMO CHEKI HAPA

LAYIII
Good news ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva, H Baba ambaye ametangaza rasmi sasa hivi kurudi kwenye soka na kujiunga na timu ya Toto African.
‘Kupitia kwenye kipindi cha AMPLIFAYA cha Clouds FM july 7, 2015 alifunguka na kusema’Ni kweli kwamba mimi nina vipaji vingi sasa ubora wa vipaji ni kuvionesha

Msanii H baba kuichezea Toto African?, maneno yake nimekuwekea hapa

.
.

Rais JK kuvunja Bunge, Tido Mhando na Wema Sepetu kuwa Mawaziri!? Wageni Dodoma je?>>>Stori Kubwa (Audio)

LAYIII
PB Clouds
Ni Jumatano nyingine tena na inawezekana uchambuzi wa magazeti leo kupitia @CloudsFM ulikupita, hiki ndio nilichokipata kwenye Uchambuzi wa stori kubwa za Magazetini.
Rais JK anatarajia kulihutubia na kulivunja Bunge kesho July 9 Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amesema baadhi ya wageni wanaoingia jijini humo watalazimika kulala nje ya Dodoma mpaka shughuli za Kiserikali zitakapoisha… CHADEMA wanafanya Mkutano kujadili mambo mengi ikiwemo kuangalia mchakato wa BVR.
Kuna stori pia kuhusu watu milioni 11  kuandikishwa kwenye daftari la wapigakura kwa kutumia mfumo wa BVR.
Mgombea Urais wa CCM, Maliki Malupu ametangaza Baraza la Mawaziri litakalokuwa na Mawaziri 18, Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo kungozwa na Tido Mhando na Naibu Waziri kuwa Wema Abraham Sepetu.
Mbunge Joshua Nassari amenusurika ajali ya helikopta jana, yeye pamoja na wengine waliokuwepo kwenye ajali hiyo wamepelekwa hospitali kwa ajili ya matibabu.
Uchambuzi wa stori zote uko kwenye hii sauti hapa niliyorekodi #PowerBreakfast.

JIMBO JIPYA LAGUNDULIKA DAR

LAYIII
Wafanyabiashara ni wengi na kila mmoja anataka mambo yake yaende vizuri ndio maana kwa gharama zote anazozimudu anahakikisha amefanikisha kufikia lengo la kuteka wateja wengi. Baada ya mwezi mtukufu mpango wa burudani Dar es salaam unahamia kiwanja kipya cha night club

HIKI NDICHO ABDU KIBA ANATAMANI KWA DIAMOND NA ALIKIBA

LAYIII
Post hii inamilikiwa na Abdu Kiba, msanii wa bongofleva ambaye ni mdogo wa Ali Kiba…. alifika TZA kwenye studio za Millard Ayo na kufanya Interview ya mambo mengi ambapo hii ni sehemu ya pili ya alichokiongea.

CHEKI ILE STYLE YA WACHINA YA KUFUTURU

LAYIII
Futari ni mlo ambao waislamu wengi hushirikiana kwa pamoja wakati wa jioni katika kipindi cha mfungo kwenye kipindi hiki cha Ramadhan… Kutokana na utaratibu ulivyo Futari huwa inaliwa wakati wa jioni.

Picha za Waislamu wa China wanavyoshiriki pamoja kwenye Futari!

chinese-muslim-brothers
Futari ni mlo ambao waislamu wengi hushirikiana kwa pamoja wakati wa jioni katika kipindi cha mfungo kwenye kipindi hiki cha Ramadhan… Kutokana na utaratibu ulivyo Futari huwa inaliwa wakati wa jioni.

MSIKIE MBUNGE WA SINGIDA HAPA AKIWAAGA WANANCHI WAKE

LAYIII
Leo July 08 2015 zimebaki saa chache kushuhudia Rais Jakaya Kikwete akivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wapo waliotangaza kwamba wanarudi Majimboni mwao kuomba tena Kura ili Uchaguzi wa August 2015 wapigiwe Kura za kuendelea kuwa Wabunge, lakini wapo walioaga pia.

Maneno ya Mbunge Mohammed Dewji alipokuwa akiaga watu wake Singida Mjini

MO DEWJI
Leo July 08 2015 zimebaki saa chache kushuhudia Rais Jakaya Kikwete akivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wapo waliotangaza kwamba wanarudi Majimboni mwao kuomba tena Kura ili Uchaguzi wa August 2015 wapigiwe Kura za kuendelea kuwa Wabunge, lakini wapo walioaga pia.
Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji ni Mfanyabiashara mkubwa lakini pia alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo, leo alitua siungida na kuhutubia Wapigakura wake.
Hizi ni Tweets zake alizoandika kile alichowaambia wakati anaaga kutogombea tena Jimbo hilo.

5000 KUSIMAMISHWA KAZI MICROSOFT KISA HIKI HAPA

LAYIII
Kampuni ya Microsoft (MST Tech 30) ni miongoni mwa kampuni kubwa za teknolojia duniani, wakiwa ni watengenezaji wakubwa wa bidhaa za kompyuta na simu duniani.
Kampuni ya Microsoft ilikuwa na wafanyakazi 118,600 mpaka mwezi March 30 2015, kati yao wafanyakazi 60,000 walikuwa ndani ya Marekani… Mwaka 2014 kampuni hiyo iliwasimamisha kazi watu 18,000.. wengi walishangazwa na uamuzi huo.

Microsoft inasimamisha kazi watu zaidi ya 5,000… Sababu ni hii iliyotajwa hapa !!

microsoft2
Kampuni ya Microsoft (MST Tech 30) ni miongoni mwa kampuni kubwa za teknolojia duniani, wakiwa ni watengenezaji wakubwa wa bidhaa za kompyuta na simu duniani.
Kampuni ya Microsoft ilikuwa na wafanyakazi 118,600 mpaka mwezi March 30 2015, kati yao wafanyakazi 60,000 walikuwa ndani ya Marekani… Mwaka 2014 kampuni hiyo iliwasimamisha kazi watu 18,000.. wengi walishangazwa na uamuzi huo.
wafanyakazi3
Story kubwa kuhusu wao leo inahusu Kampuni hiyo kutangaza tena kuwasimamisha kazi wafanyakazi 7,800 na  hawatatoka Marekani  tu bali kwenye matawi yao yaliyoko sehemu mbalimbali Duniani.

advertise here