Saturday 25 June 2016

KILICHOJIRI KUHUSU WAZIRI MKUU WA UINGEREZA KUJIUZULU

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU

Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika muungano wa Ulaya.
Cameron akiwa amejawa na huzuni amesema kuwa atasalia ofisini kwa siku tisini zijayo ndipo angatuke.
Bw Cameron ambaye ameongoza kampeini ya kusalia katika muungano wa EU amesema kauli hiyo imempa mshutuko mkubwa na kwa baadhi ya watu mashuhuri duniani.
Akiongea katika kikao cha waandishi wa habari nje ya afisi yake jijini London, Bwana Cameron amesema kuwa hahisi tena kuwa mtu muhimu wa kuliongoza taifa hilo kwa ufanisi chini ya uamuzi kama uliofanywa.
Sauti yake iliibua hisia hasa aliposena naipenda saana taifa hili na najihisi vizuri kuliongoza muda huo wote.
Bwana Cameron amesema kuwa kauli ya wengi sharti isikizwe japo hafahamu kwanini Waingereza walichukua uamuzi kama huo ilhali taifa hilo lilikuwa linaufanisi mkubwa sana ndani ya EU.Cameron akiwa ameandamana na mkewe amesema bila shaka sasa utawala mpya unahitajika utakaoweza kutathmini mbinu na mkataba wa kujiondoa kutoka kwa muungano huo wa bara Ulaya.

AJITENGENEZEA TATUU ILI AFANANE NA MWANAYE ALIYEFANYIWA UPASUAJI

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU

Baba wa miaka 28 nchini Marekani amenyoa kichwa chake na kuweka mchoro wa tatoo unaofanana na kovu la kichwa cha mwanawe aliyefanyiwa upasuaji.
Josh Marshall,ambaye anatoka Kansas aliingia katika shindano la kila mwaka linaloendeshwa na shirika la hisani kuhusu saratani ya watoto na kushinda taji la #BestbaldDad{baba mwenye kipara kizuri} wikendi iliopita.
Akikiri aliandika: Mimi na mwanangu katika hafla ya St. Baldtricks huko Wichita Kansas.

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI KUHAKIKI VYAMA KUANZIA TAREHE 27 JUNI HADI TAREHE 06 JULAI, 2016

subscribe hapa 
Jaji Francis S.K. Mutungi
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini inapenda kuwafahamisha wananchi kwamba, kuanzia tarehe 27 Juni, 2016 hadi tarehe 06 Julai, 2016 itaendesha zoezi la uhakiki wa utekelezaji wa masharti ya usajili na matakwa mengine ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya Mwaka 1992, kwa Vyama vya Siasa vyenye usajilli wa kudumu kwa upande wa Tanzania Bara.


Zoezi hili ni endelevu kwani ni utekelezaji wa kawaida wa majukumu ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa. Hufanyika kila mwaka isipokuwa kwa mwaka jana (2015) kwa kuwa ulikuwa mwaka wa uchaguzi.

VYAKULA HIVI VITAKUSAIDIA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

SUBSCRIBE HAPA
Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi.

Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi si lazima kutumia madawa makali kama viagra au vilevi vikali. Madawa na pombe hukupa nguvu zinazoisha kwa muda mfupi, lakini hukuletea madhara makubwa yatakayokuandama kwa muda mrefu zaidi. Ili kupata suluhishi la uhakika ni vizuri

MTATUUA JAMANI VAENI CHUPI

SUBSCRIBE HAPA
https://youtu.be/BqEzeRCjiQs
Dada zetu siku hizi hawapendi kuvaa chupi kabisa.Wenyewe wanadai wanataka wapigwe upepo kunako. 
Sasa wengine nguo wanazovaa ni hatari tupu,unakuta kavaa nguo laini na mzigo kajaliwa huo mtikisiko sasa mpaka presha zinatupanda. 
Na wengine mpaka tamu yote inaonekana. Dada zetu hembu tuoneeni huruma

advertise here