Saturday 11 July 2015

KIJUE ALICHOSEMA JANUARY MAKAMBA BAADA YA KUIKOSA TATU BORA

LAYIII
January Makamba ni miongoni mwa waliojitokeza kuomba ridhaa ya chama cha mapinduzi CCM kuteuliwa kukiwakilisha chama kwenye kugombea Urais wa Tanzania 2015 ambapo alitajwa kwenye mchujo wa kwanza wa tano bora pamoja na Bernard Membe, Amina Salum, Asharose Migiro na John Magufuli.

Makamba 1January Makamba ni miongoni mwa waliojitokeza kuomba ridhaa ya chama cha mapinduzi CCM kuteuliwa kukiwakilisha chama kwenye kugombea Urais wa Tanzania 2015 ambapo alitajwa kwenye mchujo wa kwanza wa tano bora pamoja na Bernard Membe, Amina Salum, Asharose Migiro na John Magufuli.

BAADA YA TATU BORA KUTANGAZWA CCM KILICHOFUATA HIKI HAPA

LAYIII
Tayari mchujo wa pili ulitangazwa saa kadhaa zilizopita hapa Dodoma ambapo walioingia ni John Magufuli, Asharose Migiro na Amina Salum kutoka kwenye tano bora iliyowahusisha pia January Makamba na Bernard Membe, watatu hawa kila mmoja 

CCM 2Tayari mchujo wa pili ulitangazwa saa kadhaa zilizopita hapa Dodoma ambapo walioingia ni John Magufuli, Asharose Migiro na Amina Salum kutoka kwenye tano bora iliyowahusisha pia January Makamba na Bernard Membe, watatu hawa kila mmoja alipewa dakika 15 za kuongea live mbele ya Wajumbe na

NAPE MTANGAZA SHEIN KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

LAYIII
Katibu wa Uenezi, Nape Nnauye amemtangaza rasmi Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM 2015, Mhe. Ali Mohamed Shein.

UKUMBI WA CCM DODOMA BADO MATUKIO YAPO MENGI KWELI KWELI

LAYIII

Majibu ya tatu bora kutoka kwenye list ya tano bora ya Wagombea Urais wa CCM tutayajua leoleo JULY 11 2015 kutoka hapahapa Dodoma.
Niko na wewe mtu wangu kwenye kila hatua, kila tukio la hapa ni lazima nilisogeze kwako pia… matukio mengine ya nje ya Ukumbi wa CCM Dodoma ni haya niliyoyanasa kwenye hizi pichaz.
DSC_2874
Camera za Waandishi wa Habari ziko karibu na kila tukio hapa Dodoma.

Bastian Schwesteiger athibitishwa kwenda Man United

LAYIII
Klabu ya Manchester United imekubaliana kimsingi na mabingwa wa Bayern Munich juu ya usajili wa kiungo wa timu ya taifa ya Ujerumani Bastian Schweinsteiger.
  Bastian, mwenye umri wa miaka 30, aliomba mwenyewe klabu ya Bayern Munich kutompa mkataba mpya na angependa kwenda sehemu nyingine.
Mkurugenzi mkuu wa Bayern Karl-Heinz Rummenigge ameongea na waandishi wa habari muda

BREAKING NEWS

LAYIII

Baada ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM, kuingia ukumbini mjini Dodoma mchana huu wakiongozwa na mwenyekiti wake Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, viongozi wenzake, baadhi ya wajumbe wamesikika wakiimba “Tunaimani na Lowassa”.
Endelea kufuatilia habari zetu.

NAPE ATHIBITISHA TANO BORA CHEKI VIDEO HAPA

LAYIII


JULY 11 2015 stori zote kwenye Udaku, Hardnews na Michezo Tanzania ziko kwenye haya Magazeti

LAYIII
.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa WWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

CHEKI KINACHO ENDELEA DODOMA HAPA

LAYIII

DSC_2734
Kikao cha Halmashauri Kuu kimeendelea sasa hivi kwa zaidi ya saa nne hapa Makao Makuu ya CCM Dodoma, viko vitu vingi  vinaendelea nje ya Ukumbi… wapo wanaoimba na kushangilia, wengine wapo wakiendelea kusubiri kile kitakachotangazwa baada ya Halmashauri Kuu kumaliza Kikao.
Watu ni wengi sana nje ya Ukumbi, nimebahatika kukutana na wenyeji wa Mji wa Dodoma na watu ambao wanafanya shughuli zao kwenye Majengo yanayozunguka Makao Makuu hayo, wanasema haikuwahi kutokea mtaa huu ukawa busy watu wakawa wengi kiasi hiki.
DSC_2702
Hapa ni nje ya Ukumbi ambao Kikao kinaendelea.

Ronaldinho, Eto’o na Valdes kucheza timu moja?, stori iko hapa

layiii
valdes-ronaldinho-and-etoo-1436557439755
.
Wachezaji wa zamani wa Fc Barcelona ya Hispania Ronaldinho Gaucho na Victor Valdes uwenda wakaungana na mchezaji mwenzao wa zamani wa klabu hiyo Samuel Eto’o nchini Uturuki.
Story inayovutia wapenzi wa soka duniani kuhusu hawa ma star sio kucheza tena pamoja ila ni timu wanayo kwenda kuichezea Antalyaspor ya nchini Uturuki ambayo ndio imepanda daraja msimu huu.

Maneno 36 ya Waziri Membe kuhusu mtu aliyekamatwa na Mabilioni ya Wajumbe Dodoma..

layiii

bernard-membe-1
Kuna stori zimeenea mitandaoni kwamba kuna mtu ambae amekamatwa na mabilioni ya pesa Dodoma, kingine ni kwamba amekamatwa na simu ikiwa na maelekezo kwamba pesa hizo ni za kuwapatia Wajumbe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameandika ujumbe @Twitter kukanusha kuhusika na mtu huyo >>> “Kuna taarifa za uongo zinazoenezwa kwamba kuna “Mtu wa Membe” amekamatwa na pesa Dodoma
Kwenye Tweet nyingine Waziri Membe ameandika hivi >>>”siasa hizi ni za hovyo kwani hazitajenga Taifa letu. Naomba msihadaike na watu wanaotaka kututia doa baada ya kukosa uchafu dhidi yetu” >>> @

Dr Slaa kathibitisha kuteuliwa na UKAWA

layiii

.
.
Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wibroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.

Zitto Kabwe kayasema haya kuhusu chama chake kuteua mgombea au kuunga mkono mgombea wa chama kingine

layiii

.
.
Baada ya chama cha Mapinduzi kupitisha majina matano kwenye tano bora ya Wagombea CCM nafasi ya Urais 2015 kupitia chama hicho.
Sasa kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Mh Zitto Kabwe

advertise here