LAYIII
p>Ukijua sheria na haki yako ni rahisi kudai na kusimamia msimamo wako kiuhalali kabisa. Hali ndivyo ilivyo kwa wamiliki wa nyumba nyingi huko China ambao wengi ni wabishi hasa nyumba zao zinapotakiwa kubomolewa kupisha miradi mbalimbali.
Je hapa kwetu watu wanajua sheria na taratibu zao? Picha hapo chini zinaonyesha nchi ya kikomnisti ya China. Je nchi za kidemokrasia kama tunavyojiita unaweza kufanya hivi?p>Ukijua sheria na haki yako ni rahisi kudai na kusimamia msimamo wako kiuhalali kabisa. Hali ndivyo ilivyo kwa wamiliki wa nyumba nyingi huko China ambao wengi ni wabishi hasa nyumba zao zinapotakiwa kubomolewa kupisha miradi mbalimbali.
Mmiliki wa jengo hilo Luo Baogen, 67, akiwa na mkewe mwenye miaka 65 wamekuwa wakipambana kwa miaka minne ili waweze kupata dola za kimarekani 41,300 kutoka serikali kufidia jengo hilo ili waweze kuondoka hapo. Hali hiyo inaitwa nyumba misumari kwakuwa inakuwa ngumu