Thursday, 3 September 2015

CCM, UKAWA SIRI NJE NJE

LAYIII

Siri CCM na UKAWA nje, Mke wa DK.Slaa afichua siri, Magufuli na wazawa wa gesi, Lowassa na ‘Operation Tokomeza? (Audio).

Uchambuzi wa Magazeti @CloudsFM ni sehemu inayokupa habari zote zilizoweka headlines magazetini, kazi yangu ni kukusogezea zile kubwa kubwa kwenye vichwa vya habari…
Siri yafichuka CCM na UKAWA vyama hivyo vimeanzia kampeni nyanda za juu kusini, Mke wa

MOURINHO,RONALDO NA SMALLING WAINGIA KATIKA KITABU CHA GUINNES OF WORLD RECORD

LAYIII

Mourinho, Ronaldo na Smalling wameingia katika kitabu cha Guinness World Records


Baadhi ya wanamichezo duniani akiwemo Jose Mourinho, Frank Lampard na Cristiano Ronaldo wameingia katika kitabu cha kipya cha Guinness World Records ambacho toleo jipya litatoka Septemba 10, Mastaa hao wamepewa heshima ya kuwemo katika kitabu hicho kutokana na rekodi zao mbalimbali.
2BEFB75200000578-0-image-m-34_1441321383669
Jose Mourinho ndio ameingia katika headlines kubwa zaidi baada ya kupewa Tuzo za Guinness World Records mara nne, hivyo ana rekodi nne tofauti zitakazo mfanya aandikwe katika kitabu hicho.

TOTTENHAM WAPATA PIGO DHIDI YA UWAMZI WAO KWA EMMANUEL ADEBAYOR

LAYIII

Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo na klabu ya Tottenham Hotspur Emmanuel Adebayor, ambaye kabla ya dirisha la usajili kufungwa alikuwa akihusishwa kujiunga na klabu ya West Ham United ya Uingereza kwa asilimia kubwa. Moja kati ya wachezaji ambao tulikuwa tukitarajia kuona

bzmorning tanzania, Magazeti ya Tanzania Septemba 4, 2015.. Udaku, michezo na hardnews na (millardayo)

LAYIII
.
.
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Septemba 4,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines

Askofu Gwajima amemjibu Dr Slaa

LAYIII
Askofu Josephat Gwajima amejibu tuhuma zilizoelekezwa kwake na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa kuwa alishiriki kama ‘mshenga’ kumshawishi mwanasiasa huyo kumpokea Edward Lowassa katika chama hicho.

HEKA HEKA UNYAMA ALIO TAKA KUFANYIWA MSICHANA WA KAZI HUKO OMAN

LAYIII

Baada ya Hekaheka ya binti wa kazi aitwaye Sada kupelekwa Oman kufanya kazi za ndani na kufanyiwa unyama na wenyeji wake kias chakurudi akiwa hawezi kuzungumza wala kusikia, leo Wizara ya Mambo ya nje kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu Simba Yahya amezungumza.

UGENI MPYA NYUMBANI KWA MR BLUE

LAYIII
Msanii wa muziki wa Bongo Flava Mr Blue ana asbabu kubwa sana ya kufurahia siku hii ya leo, dakika chache zilizopita Mr Blue ameshare na sisi furaha yake kubwa ya kumkaribisha mtoto wake

advertise here