LAYIII
BAADA ya vuta nikuvute katika vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa
Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuhusu kukubaliwa au kutokubaliwa kwa Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa kujiunga na umoja huo ili kuongeza
nguvu ya kisiasa, hatimaye mwanasiasa huyo maarufu nchini amekubaliwa na
tayari amejiunga rasmi Ukawa akiwa mwanachama halisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imefahamika.
LAYIII No comments
Actress grade one Bongo Wema Sepetu, ni miongoni mwa wasanii kadhaa
waliojitokeza kuomba nafasi za kuwania uongozi Tanzania katika vyama
mbali mbali.
Mrembo huyo anawania kuteuliwa kuwa Mbunge wa viti maalum
Ni Obama kila kona! Muda wowote kuanzia leo wananchi wa Kenya
watashuhudia kutua kwa Rais wa Marekani, Barack Hussein Obama, nchini
humo huku stori kubwa ikiwa ni ulinzi uliowekwa kwa hofu ya kundi
‘haramu’ la ugaidi la Alshabaab, Ijumaa linakupeleka hadi kwa majirani
zetu hao.
LAYIII
Klabu ya FCBarcelona ya Hispania ambayo ipo Marekani kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Hispania imezidi kujenga uhusiano mzuri na NBA… Barcelona siku chache zilizopita ilimualika mkali wa Basketball anayeichezea Los Angels LakersKobe Bryantkutembelea timu yao wakati wa mazoezi sambamba
Pichaz za Wachezaji wa FC Barcelona walipokutana na mabingwa wa NBA, Iniesta, Busquet na Pique waliweza Basketball?
Pique
kushoto akiwa na kombe la NBA, Harrison Barnes katikati akiwa na kombe
la URFA na Busquet kulia akiwa na mpira wa Basketball
Klabu ya FCBarcelona ya Hispania ambayo ipo Marekani kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Hispania imezidi kujenga uhusiano mzuri na NBA… Barcelona siku chache zilizopita ilimualika mkali wa Basketball anayeichezea Los
LAYIII
Masaa machache yaliyopita kumetokea tukio la mauwaji Marekani ambako mwanaume mmoja aliamua kupiga risasi ovyo akiwa kwenye nyumba ya Sinema iliyopo jijini Lafayette Louisiana na kusababisha vifo vya watu 2 na majeruhi ya watu 9 kabla ya kujiua yeye mwenyewe.
LAYIII
Bzmorning tanzania leo katika headline za magazeti ya leo nimejaribu kukunyofolea habari hiii mtu wangu wa ukweli
MWANANCHI
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona
ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa
kwenye daladala linalofanya safari zake kati ya Posta na Ubungo Simu
2000.
Uchambuzi wa magazeti redioni leo umekupita? Nimekusogezea stori zote za magazeti zilizosikika @Clouds.fm zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa…
Tatizo la BVR linazidi kuwa kubwa, kasoro za uandikishaji zinazidi kujitokeza jijini Dar huku Mkuu wa Mkoa Dar es SalaamMeck Sadik akiomba mashine za BVR kuongezwa na zile mbovu kutengenezwa.