Tuesday, 4 August 2015

SHUDIA MSAFARA WA POMBE MAGUFULI ALIPOKUWA AKIENDA KUCHUKUA FORM LEO

LAYIII
Screen Shot 2015-08-04 at 7.54.29 PM


Ni baada ya Chama cha mapinduzi kumteua John Magufuli kuwa mgombea wa urais wa Tanzania leo ilikuwa ni siku ya kuchukua fomu Tume ya taifa ya uchaguzi mwaka 2015



BEKI HUYU MBIONI KUINGIA MAN U ..NI BAADA YA KUPOTEZA MATUMAINI YA KUMPATA RAMOS

LAYIII
Klabu ya Manchester United imekuwa ikimuwania beki wa Real Madrid ya Hispania Sergio Ramos kwa muda mrefu licha ya kuwa Real Madrid walikataa kumuuza beki huyo kwenda Manchester United kwani bado walikuwa wanahitaji  huduma yake. Man United walikuwa na matumaini ya kumsajili Ramos baada ya yeye kukiri kutokuwa na furaha Real Madrid.
1418670996_extras_noticia_foton_7_0
Baada ya Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez kutangaza kuwa wamefikia makubaliano ya kuongeza mkataba na Ramos, Man United wamebadili mawazo yao na kukubali yaishe

THAMANI YA VIPODOZI VILIVYOTEKETEZWA NA TFDA KWA MWAKA 2014/2015 HII HAPA

LAYIII

fekiiii
Mmlaka ya chakula na Dawa TFDA imeatoa ripoti ya mwaka wa fedha kuhusu bidhaa mbalimbali zilizokamatwa na kuteketezwa kwa mujibu wa sheria na hatua zilizochukuliwa.
Mkurugenzi wa TFDA Hitti Sillo amesema  katika mwaka wa fedha wamekamata na kuteketeza vipodozi ambavyo vimepigwa marufuku tani 16.61 ambazo thamani yake ni shilingi milioni 44.2

KAMA HUKUONA AU KUSKIA KUHUSU MWAFRIKA ALIYE VULIWA NGOZI NYEUSI NA KUVISHWA NYEUPE ILI AWE MZUNGU ONA HAPA

LAYIII

See wonderful Russian Laboratory has invented a way to remove the black Skin layer of black People

 ADD US ON BBM 56899A10
This is unbelievable and yet real. According to a publication of the Moscow Faculty of Sciences , researchers have developed a chemical process to « w

KIJASHO KIDOGO CHAMTOKA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA KISA KUMBEBA LOWASSA UKAWA

LAYIII

Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.

ILI KUHAKIKISHA HAUPITWI NIMEKUWEKEA PICHA ZOTE ZA MKUTANO WA CHADEMA HAPA MLIMANI CITY UNAO FANYIKA LEO 4/8/2015

LAYIII
2X6A9160
Headlines nyingine zilianza kuandikwa Tanzania kwenye Siasa 2015, ambapo July 28 2015 Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli alikaribishwa CHADEMA na kupewa Kadi za Uanachama yeye pamoja na mkewe, Mama Regina Lowassa.

advertise here