Saturday 1 April 2017

MKANGANYIKO BAADA YA ROHO KUACHANA NA MWILI,ROHO HUENDA WAPI




Haya mambo bado yanachanganya wengi kwamba roho inaenda wapi baada ya kuachana na mwili
1.Je inaenda kuzimu?
2.Je inaenda peponi? 
3.Je inazaliwa upya?
4.Je inawayawaya na kutangatanga huku na kule?

advertise here