Wednesday, 9 March 2016

FROM UDAKU SPECIALLY: SHUDIA MBUNGE ALIVYOKULA KICHAPO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NA JMETTY KUIONA VIDEO YAKE
https://www.youtube.com/watch?v=Gpik8ecGV80
Mwanasiasa mkongwe Moses Wetang’ula Senator wa kaunti ya Bungoma, ambaye pia ni Waziri wa zamani wa mambo ya nje na Waziri wa zamani wa Biashara nchini Kenya. Jumapili ya tar.6 March (siku mbili kabla ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani) alipewa kipigo kikali na mke wake An Wacheke Ngugi hali iliyopelekea kukimbizwa hospitali kwa matibabu kabla hajaenda kuripoti Polisi ambapo alikuta mkewe ameshamtangulia kuripoti. Yani mke alimpiga mume kisha akawahi Polisi kusema amepigwa.

UPDATE NA 3MILLARDAYO PAMOJA NA AJARI KUTOKEA ASUBUHI BADO WATU WAMEKUSANYIKA KITUO CHA POLICE BUGURUNI

LAYIII
Asubuhi ya March 9 taarifa za ajali kutokea maeneo ya Tabata Dar Es Salaam zilisambaa katika sehemu mbalimbali hususani, katika mitandao ya kijamii. Tabata ilitokea ajali iliyokuwa inahusisha basi la abiria aina ya DCM, tipa la mchanga na Lori la ng’ombe.

advertise here