Monday, 29 June 2015

LINI TANZANIA ITAZINDUA KITU CHAKE AMIZING ........ HEMBU CHEKI VITU GHANA MTU WANGU

LAYIII


Ghana yazindua gari lake

Wakati unapoangazia swala la utengezaji magari mataifa ya Afrika kwa kawaida hayaorodheshwi katika swala hilo.

ZIJUE STORY KUBWA LEO TANZANIA

LAYIII
Good morning mtu wa nguvu !! Kila siku asubuhi huwa ninakuwekea karibu Uchambuzi wa Stori kutoka kwenye Magazeti yote ya Tanzania baada ya kurekodi kutoka kwenye show ya #PowerBreakfast @CloudsFM… kilichosikika leo ninacho pia, stori ni hizi hapa;

Stori Kubwa June 30 2015 >>>Ishu ya Mafuta TZ, uandikishaji BVR Dar na Pwani, Mzee Mkapa na Mwinyi na Urais CCM..

BRT-curb-traffic-jams-Dar-es-Salaam
Good morning mtu wa nguvu !! Kila siku asubuhi huwa ninakuwekea karibu Uchambuzi wa Stori

KATIKA BZMORNING NIMEKUWEKEA MAGAZETI YA LEO 30/06/2015

LAYIII
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa WWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

Yalichoandika magazeti ya Tanzania leo JUNE 30, 2015 Udaku, Hardnews na Michezo

.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa WWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya

DIAMOND ATAITIWA AIRPORT KWA MUDA WA MASAA KADHAA>>KISA NA MKASA SOMA HAPA

LAYIII
 3
 KIBANO! Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’ kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’ kamili.


 <<<KAJALA & MC PILIPILI  MAMBO HADHARANI>>>

1Staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa ametaharuki.

MAFURIKO SIYO TANZANIA TU HATA CHINA YAMEJAA HEMBU CHIKI HAPA

LAYIII
 May 2015 ulikuwa mwezi ambao tulishuhudia maafa yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha mfululizo Dar… mara nyingi hivi vitu vikitokea huku kwetu watu hawaamini kama hata nje ya TZ nako huwa vitu vinatokea hivyohivo.

Kama ulidhani noma ya mafuriko ni Tanzania pekeake, angalia picha 10 kilichotokea China..

d43d7e14d47316fadabd07
May 2015 ulikuwa mwezi ambao tulishuhudia maafa yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha mfululizo Dar… mara nyingi hivi vitu vikitokea huku kwetu watu hawaamini kama hata nje ya TZ nako huwa vitu vinatokea hivyohivo.
Mafuriko yametokea China, hapa unaweza kuona kwenye picha hali ilivyokuwa baada ya balaa la mafuriko kuwakuta.
d43d7e14d47316faf2e232
Hivi ndio ilivyokuwa kwenye Chuo kilichopo Nanjing, Jimbo la Jiangsu ndani ya China… Watu zaidi ya 65,000 wameathirika kutokana na mvua hizo.

NUNGU NUNGU MWACHE KA ALIVO USIPAPALIKE KUMMEZA MCHEKI CHATU HUYUU

LAYIII
Ndani ya hifadhi ya Eland Game Reserve iliyoko KwaZulu-Natal, South Africa mwendesha baskeli alikatisha siku ya June 14 2015, akakutana na chatu mkubwa mzima kabisa aliyeonekana kama amekula na kushiba kupita kiasi… akampiga picha na kushare na watu wake mitandaoni.

Njaa ikamfanya chatu kula Nungunungu na miba yote aliyonayo, kilichofuatia je?

python-alive
Ndani ya hifadhi ya Eland Game Reserve iliyoko KwaZulu-Natal, South Africa mwendesha baskeli alikatisha siku ya June 14 2015, akakutana na chatu mkubwa mzima kabisa aliyeonekana kama amekula na kushiba kupita kiasi… akampiga picha na kushare na watu wake mitandaoni.

ULIMISI KUONA MAPOKEZI YA STEVE NYERERE KATIKA HARAKATI ZA KUGOMBEA UBUNGE NIMEKUWEKEA HAPA MTU WANGU

LAYIII
Kwenye list ya mastaa wa TZ waliotangaza kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi wa 2015 lipo pia jina la mastaa wa Bongo Movie, Steve Mengere aka Steve Nyerere.
Jamaa alikuwa anamaanisha kabisa kuhusu safari yake kwenye Siasa, hapa nina pichaz kutoka kutoka viwanja vya CCM Bwawani ambapo Steve alikuwa akitangaza nia hiyo.

Mapokezi ya Steve Nyerere alivyotangaza kugombea Ubunge wa Kinondoni (Pichaz)

Steve II
Kwenye list ya mastaa wa TZ waliotangaza kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi wa 2015 lipo pia jina la mastaa wa Bongo Movie, Steve Mengere aka Steve Nyerere.
Jamaa alikuwa anamaanisha kabisa kuhusu safari yake kwenye Siasa, hapa nina pichaz kutoka kutoka viwanja vya CCM Bwawani ambapo Steve alikuwa akitangaza nia hiyo.

ULIMIC KUIONA ILE COLLABLE YA NAVIO NA MR. BLUE NIMEKUWEKEA HAPA

LAYIII

Blue & Navio
Mwezi February 2015 Rapper kutoka Uganda, Navio alitua TZ kwa ajili ya show ambayo ilifanyika Club Billz, Dar es Salaam ilimshuhudia star huyo alipofanya uzinduzi wa Video ya Hit song ya ‘Kigozi‘.
Uwepo wa Navio ndani ya TZ ulikuwa na kingine kizuri, walikutana na Mr. Blue na kupiga collabo ambayo tayari imefanyiwa video… kama hujakutana na video hiyo basi unaweza kuchukua kama dakika nne hivi kuicheki hapa.



Msanii wa Afrika aliyegoma kwenda kwenye tuzo za BET kwa makusudi, dharau imehusika..

LAYIII
Fuse ODG 2Kitendo cha BET ambayo ni Television kubwa ya Marekani kwenye ulimwengu wa burudani kuwapa Wasanii wa Afrika tuzo zao kwa time tofauti na tuzo wanazoshinda wasanii wakubwa wa Marekani kama Beyonce na Chris Brown kiliwahi kulalamikiwa na wengi akiwemo Ommy Dimpoz.
Hata Davido aliposhinda mwaka jana kwenye sehemu ya Interview Diamond alieleza kwamba tuzo za wasanii wa Afrika huwa hazitolewi pamoja na zile za kina Beyonce, wasanii kwenye kipengele cha Afrika waliitwa asubuhi na mapema wakati ukumbi ukiwa mtupu bila watu ndio mshindi akakabidhiwa tuzo alafu badae jioni ndio kina Beyonce wakakabidhiwa kwenye event yenyewe lakini ukitazama kwenye TV huwezi kugundua sababu wanaunganisha kijanja.

MTOTO WA JK ATHIBITISHWA MAREKANI KUWA NA AKILI NYINGI......AIWAKILISHA TANZANIA VIZURI KWA KUPOKEA MEDANI

LAYIII
mtoto wa Rais JK, Khalfan Jakaya Kikwete ameiwakilisha TZ vizuri kwa kushinda medali Marekani katika mashindano ya kusaka wanafunzi wenye akili nyingi.

Mtoto wa Rais JK na ushindi wa Medali Marekani, Urais CCM.. Ushirikina kwa Walimu Mara

29
Jumatatu JUNE 29 2015 tayari siku nyingine imeanza, stori za Magazetini zina headlines nyingi tofauti tofauti, unajua nini kimetawala leo?
Kwenye stori kubwa iko ya Edward Lowassa kuwakimbiza wenzake katika safari ya kugombea Urais CCM, UKAWA yawasha moto wa BVR Dar es salaam kwa kutoa elimu ya matumizi ya mashine hizo.. iko nyingine pia kuhusu mtoto wa Rais JK, Khalfan Jakaya Kikwete ameiwakilisha TZ vizuri kwa kushinda medali Marekani katika mashindano ya kusaka wanafunzi wenye akili nyingi.

advertise here