Tottenham imefutilia mbali ndoto ya
Chelsea kutaka kuweka historia katika ligi kuu ya England kwa kushinda
michezo 14 baada ya vinara hao kuchakazwa 2-0 White Hart Lane.
Spurs
wamekwaa mpaka nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi baada ya Dele Alli
kufunga magoli yote mawili kwa njia ya kichwa hii ikiwa ni mwishoni mwa
kipindi cha kwanza na dakika ya 54.Wednesday, 4 January 2017
EPUKA KUMWAMBIA MJAMZITO MANENO KAMA HAYA
Hakuna ubishi kuwa mama anapokuwa katika hali hii hupenda kuishi maisha yasiyo na bughudha ama rabsha. Pamoja na kuwa watu wengi hukubaliana na changamoto zinazowapata wanawake
ALIYEZIKWA KISIRI KUFUKULIWA
Familia moja jijini Arusha inadaiwa kumzika kwa siri mtoto wao mdogo wa kike wa miaka mitatu katika kaburi lililofichwa, huku majirani wakidanganywa kuwa binti huyo yupo hai.
Taarifa za kisa hicho cha kusikitisha zimevifikia vyombo vya usalama. Kwa sasa kuna mipango ya kuhakikisha kuwa mwili wa binti huyo, Nuru Losipha aliyezikwa kwa siri na familia yake,
ARSENAL ILIVYO PAMBANA KIUME NYUMBANI KWA BOURNEMOUTH
Arsenal imeambulia alama moja nyumbani kwa Bournemouth baada ya kutoka nyuma kwa magoli 3-0.
Ilikuwa
nii kama kutimiza lengo kwa the Gunners baada ya kufunga magoli matatu
ndani ya dakika 20, kabla ya hapo Bournemouth ambao walikuwa wenyeji
walikuwa wakiongoza kwa magoli 3-0.Alexis Sanches alianza kuiandikia bao la kwanza Arsenal dakika ya 70 kabla ya Lucas Perez
Subscribe to:
Posts (Atom)