Shirikisho la soka barani Africa (Caf) limetoa orodha ya majina ya
wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2016, jina la
mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta halipo katika
orodha ya wachezaji hao waliofanikiwa kuingia tano bora.
Mwanamuziki Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza kuwa lebo
yake imeingia partnership na lebo kubwa ya Muziki Duniani inayojulikana
Kama Universal Music, Lebo hiyo