LIKE PAGE YETU HAPA
Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper
baada ya kukiri kwamba anatoka kimapenzi na Harmonize, amefunguka na
kueleza madai ya kufilisiwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake wa
zamani.
Akiongea katika promo ya kipindi kipya cha Take One ambacho kinatarajiwa kuruka Jumanne hii, Wolper amedai yeye ndiye aliyetendwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake, kwani wakati anaanza naye mahusiano alikuwa ana gari na nyumba lakini baadae akijikuta hana hata sehemu yakulala.