Sunday, 21 June 2015

BABA DAY KUVUNJA RECORD YA DUNIA MTOTO WA CHRISS BROUN NDO MGENI RASMI

LAYIII
MWANAMUZIKI wa nchini Marekani, Christopher Maurice "Chris" Brown amejiandalia sherehe maalum kusherehekea Siku ya Baba Duniani

CHRIS BROWN AANDAA SHEREHE YA SIKU YA BABA DUNIANI, BINTIYE NDIYE MGENI RASMI


Chris Brown akiwa na binti yake Royalty Brown.
MWANAMUZIKI wa nchini Marekani, Christopher Maurice "Chris" Brown amejiandalia sherehe maalum kusherehekea Siku ya Baba Duniani ambapo mgeni rasmi atakuwa binti yake Royalty Brown
mwenye umri wa mwaka mmoja.

HATIMAYE TFF YAMFUKUZA KAZI MAART NOOIJ

LAYIII
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine kilipitia mwenendo wa timu ya Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja 

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine kilipitia mwenendo wa timu ya Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja na
kuhudhuria mchezo kati ya Tanzania na Uganda, kama sehemu ya tathmini ya mwenendo wa timu.
Kamati ya Utendaji kwa kauli moja imeamua yafuatayo;

advertise here