Monday 25 April 2016

RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA AME UNFOLLOW WATU WOTE TWITTER NA KUACHA WATU KUMI NA MOJA TU ... JPM YUMO

LAYIII

President Uhuru Kenyatta has unfollowed most of the people he had been following on Twitter leaving only 11, mainly famous Heads of State.

Kenyatta who has been the most popular Twitter personality in Kenya based on the number of followers, was following more than 140 people but his following has suddenly shrinked.

The President has only retained United States President Barrack Obama, François Hollande of France, Indian Prime Minister Narendra Modi and Japan's Abe Shinzo.

KAMA HUKUJUA HIZI HAPA AINA NNE ZA MICHEPUKO

LAYIII

1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu.

2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time.

ASKOFU WA KKKT MALASUSA AKAMATWA UGONI

LAYIII

MUME wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya Malasusa na Jeshi la Polisi, anandika Josephat Isango.

Akizungumza baada ya kuachiwa huru kutoka polisi kwa tuhuma za kushambulia, amesema watoto wake walichukuliwa na raia mmoja mjerumani aliyeolewa na mtanzania, anaitwa Caroline Shedafa.

Caroline Shedafa ametuhumiwa kuwa ametumia mwanya wa malalamiko ya Mwakilima na Malasusa kwa sababu ya urafiki alifanikiwa kuwatorosha watoto hao na kwamba ana mpango wa kuwasafirisha kwenda nje ya nchi wakati wowote.

WATATU WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA KILIMANJARO

LAYIII

Watu watatu akiwemo raia wa Kenya wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya Mirungi na Bangi kilo 54 na misokoto ya Bangi 4,500 ikisafirishwa kutoka nchini Kenya kwenda mkoani Arusha.

Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Bw.Wilbrod Mutafungwa amesema watuhumiwa hao wamekamatwa katika maeneo ya njia panda Himo wilaya ya Moshi na Sanya juu wilaya ya Siha wakiwa wameficha madawa hayo ya kulevya kwenye miili yao kuanzia maeneo ya tumboni hadi

KUTANA NA MAGAZETI YA LEO TAREHE 26/4/2016

LAYIII

April 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @SWAXBZ ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

MANENO YA ZITTO KABWE KUHUSU JP KUINGILIA KAZI ZA MAWAZIRI

LAYIII

April 25 2016 Chama cha ACT Wazalendo kimekutana katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama jijini Dar es salaam. Katika hotuba yake Kiongozi Mkuu wa chama hicho na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amempongeza Rais John Magufuli kwa kuanza katika eneo la ufisadi ambalo ni muhimu sana ambalo anasema ni msingi mkubwa wa kuanzishwa chama chao.

KUMBE HII NDIO MAANA YA NDI NDI NDI YA LADY JAYDEE

LAYIII

Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura maarufu kama Lady JayDee ameweka hadharani maana ya ngoma yake mpya inayotesa mtaani kwa sasa kwa jina la NdiNdiNdi.

Akiitambulisha video ya wimbo huo kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ya EATV Lady JayDee amesema kwamba maana ya wimbo huo ni ‘The Ndi Mimi ni kitu Tori wewe si kitu’ ili kuleta fleva

KUMBE PAPA WEMBA NA DIAMOND PLATNUMZ WALIFANYA PROJECT KABLA YA IFO CHAKE

LAYIII
Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ameoneshwa kustushwa kwake na taarifa za kifo cha mwanamuziki mwenye asili ya Congo Papa Wemba, huku akielezea jinsi walivyokutana siku chache zilizopita na kufanya naye collabo.

Kwenye ukurasa wake wa Facebook Diamond ameelezea huzuni hiyo, huku akitoa taarifa kuwa kulikuwa na mipango mingi ya wao kufanya kazi, lakini mauti yameshafuta mipango hiyo.

CHANZO PICHA ZA UCHI SIWEMA WA NAY AFUNGWA MIAKA MIWILI ...NAY AAPA KUMTOA GEREZANI

LAYIII
siwema1
Wiki iliyopita zilianza kusikika taarifa mbalimbali kuhusu kuhukumiwa kwa mpenzi wa zamani na mama mtoto wa msanii Nay wa Mitego aliyehukumiwa kwenda jela miaka miwili  jijini  Mwanza.


Pamoja na taarifa zote hizo kutoka hakukuwa na taarifa za kina kueleza ni nini hasa kilitokea mahakamani mpaka akahukumiwa jela miaka miwili  ila taarifa za awali  zilidai kwamba

HIII NDO TIA SAHIHI YA UGONJWA WA BAWASIRI

LAYIII

BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA (HEMORRHOIDS)
Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani au nnje ya haja kubwa wakati mwingine mishipa hiyo inaweza kupasuka /kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kinyama au uvimbe

Ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita hemorrhoids ilhali katika lugha ya kingereza unajulikana kama piles,

TAARIFA KUTOKA IKULU KWA JPM LEO TAREHE 25/4/2016

LAYIII



April 25 2016 imetolewa taarifa kutoka Ikulu kupitia kwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ambayo imeeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye kuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto nchini. 
Kamishna wa Polisi Andengenye anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhandisi Pius Makuru

LADY JAYDEE NDI NDI NDI OFFICIAL VIDEO

LAYIII
IMG_9693

KWELI DUNIA INAEEKEA UKINGONI MWANASIASA WA MIAKA 90 KUOA MWANAUME MAREKANI

LAYIII
Harris Wofford
Seneta mmoja wa zamani wa Marekani, ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 90, ametangaza kwamba atamuoa mwanamume wa umri wa miaka 40.
Wawili hao watafunga ndoa mwishoni mwa mwezi huu.
Harris Wofford, aliyehudumu katika utawala wa Rais J F Kennedy kama msaidizi maalum aliyehusika na masuala ya haki za raia, aliachwa akiwa mjane baada ya mkewe Clare kufariki kutokana na saratani ya damu miaka 20 iliyopita.
Walikuwa wameishi katika maisha ya ndoa kwa miaka 48.
Akiandika katika gazeti la New York Times, Bw Wofford amesema anajihisi mwenye bahati sana kuishi katika enzi ambazo Mahakama ya Juu Marekani imetambua kwamba “ndoa haitegemeu maumbile ya mtu kijinsia, uamuzi au ndoto za mtu.”
“Msingi wake ni upendo.”
Mwanamume atakayeolewa naye ametambuliwa kama Matthew Charlton.
Wofford alihudumu wakati mmoja kama seneta wa chama cha Democratic akiwakilisha jimbo la Pennsylvania.
Aidha, alihudumu kama mshauri wa Dkt Martin Luther King Jr.
"Mnamo Aprili 30, katika umri wa miaka 90 na 40, tutaunganisha mikono yetu, tukiapa kuunganizhwa pamoja (kwenye ndoa): kuwa pamoja na kuishi pamoja, kwa mema na kwa mabaya, kwa utajiri na umaskini, katika maradhi na katika afya bora, kupenda na kuenzi, tangu kifo kitutenganishe," amehitimisha Wofford katika makala yake iliyochapishwa katika gazeti la New York Times Jumapili

advertise here