Sunday, 15 November 2015

LEO NDO MWISHO WA MICHEPUKO NA NDOA ZA UONGO

LAYIII
nimeamua kushare na wewe namna ya kumkamata mpenzi wako anaye kuchiti kuwa yupo na wewe kumbe ana vigudulia vingine pembeni njia ni moja tu. Nini cha kufanya ingia katika account yako kuona sms zake ktk simu yake bila yeye kujua kwa kutumia account yako ya facebook hata kama yuko mbali na wewe hatua zote angalia video hii kisha jiunge nami youtube ili niwe nakuletea video za mafunzo kali bila kujua zinatoka wapi
Facebo261655

UMEWAHI KUSHUDIA MAGARI YAKITEMBEA JUU YA MAJI BASI NI WAKATI WAKO SASA TIZAMA HAPA

LAYIII

 AMPHICARS:MAGARI YANAYOTEMBEA BAHARINI NA NCHI KAVU
Leo katika maajabu ya dunia nimewaletea maajabu ya gari linaloitwa AMPHIBIAN CARS au kwajina lingine AMPHICARS gari hili lina sifa kuu mbili..Sifa ya kwanza nikutembea ardhini na majini.
 Gari hili lilitengenezwa mnamo wamiaka ya 1962-1967 huko BERLIN UJERUMANI.. Sifa kubwa ya gari hili nikuwa unaweza kuliendesha maili 500 kwasiku.. 

EMBU TUUNGANE KUTIZAMA BAADHI YA PICHA ZA GARI HILI

Terra Wind Amphibious Motorcoach

IJUWE HISTORIA FUPI YA FACEBOOK SIYO UNATUMIA TUU HUJUI CHANZO CHAKE NINI

LAYIII
Najua wengi tunaitumia facebook lakn wengi wao hawajajua ilikuwa vp tokea inaanza kutengenezwa mpaka hapa ilipofikia.. Embu tizama picha hizi za kuanzia 2004 fcebook ilipoanza kutengnezwa.

Facebook 2004 to 2005

Facebook Website Design from 2004-2011

Facebook Website Design from 2004-2011

Facebook 2006 Design

Facebook Website Design from 2004-2011
Facebook Website Design from 2004-2011
Facebook 2007 to 2008 Design Facebook Website Design from 2004-2011

Facebook 2009 Design

Facebo261655


Facebook New TimeLine Design

Facebook Website Design from 2004-2011


WAJUWE WALIOTEMBELEA PAGE YAKO YA FACEBOOK PASIPO WEWE KUJUA

LAYIII
Nimekuwa nikiona watu wengi wakitumia application kutambua niwatu gani ambao wametembeleaprofile zao za facebook..sasa nimewaleteanjia moja na rahisi isiyohitaji wewe kutumia application yeyote ile..
FUATA MAELEZO HAYA
1-nenda katika profile yako ya facebook
2-binya CTRL na herufi U yani CTRL+U kisha chagua au right click mouse yako kisha chagua ” View Page Source
3-kisha binya CTRL na F yani CTRL+F kisha kitatokea kibox kidogo ndani ya kibox hicho andika maneno haya  ordered_list.top_friends.
kama hivi

 

baada ya hapo utaona profile id za watu wote kama ionekanavyokatika picha hii
https://www.facebook.com/swaxbz1
hizo namba ambazo ziko katika vifungo ndo profile za watu hao pasipo majina yao sasa jinsi ya kuona profile za waliotembelea na kukutizama facebook ni hivi.. mimi nitachagua profile ambayo nimeichorea rangi ya blue ambayoni 100000617054353..
nenda kwenye adress bar. kisha type https://www.facebook.com/100000617054353

Natumai utakuwa umeipenda post hii
usisahau kulike page yetu ilikuweza kupokea tips zingne direct kupitia facebook https://www.facebook.com/swaxbz1

  kama unaswali unaweza kutuinbox katika page yetu au kucomment hapa


 


HAYA NDIYO MAENEO YENYE MAAJABU NA MVUTO DUNIANI

LAYIII
Leo Tunawaletea picha za maeneo ambayo yako katika mvuto wa kipekee.. Maeneo hayo yakiwa yapo yaliyotengenezwa na binadamu enzi za zamani sana na yapo ambayo kimsingi ni uumbaji wa mwenyezi mungu mwenyewe..
Embu Yatizame nawewe.
PICHA ZOTE NA LINK YA VIDEO

ALIYE VUNJA RECORD YA KUTEMBEA NA NYUMBA YAKE KWA MUDA WA MIAKA MITANO HUYU HAPA KWELI DUNIA HAWEZI ISHA VITUKO

LAYIII
Anaitwa Liu Lingchao nimchina ambaye amekuwa akitembea kwa  zaidi ya miaka mitano sasa akiibeba nyumba yake mabegani na kuzunguka nayo kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
KILA PICHA UKIBONYEZA NIMEKUWEKEA LINK YA VIDEO YAKE
https://www.youtube.com/watch?v=IfHifyK-WsY

LOWASSA NA SIRI NZIRO, M’KITI WA CHADEMA AUAWA, USPIKA,

layiii
MWANANACHI
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana hakuhudhuria mkutano wa kampeni za ubunge mjini Arusha kwa maelezo kuwa anajiandaa kutoa tamko kuhusu hali ya kisiasa visiwani Zanzibar.
Maelfu ya wafuasi wa Chadema jana walifurika kwenye Uwanja wa Ngarenaro mjini hapa kuhudhuria kampeni za ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ambao uliahirishwa kutokana na kifo cha mgombea kutoka chama cha ACT Wazalendo, lakini wakakumbana na tangazo kuwa Lowassa hataweza kuhutubia na badala yake atakuja siku ya kufunga kampeni hizo.

advertise here