Saturday, 18 February 2017

ZIJUE NCHI TANO DUNIANI AMBAZO BAADHI YA RAIA WAKE HAWAAMINI UWEPO WA MUNGU KABISA



Utafiti Unaonesha kwamba 63% ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, yafuatayo ni Mataifa 5 yanayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiyoamini uwepo wa Mungu (Atheism).

1. China. 
Ikiwa na wapagani asilimia 30%, huku asilimia 47% ya watu hawaamini kabisa kama Mungu yupo.

2. Japan.
Ikiwa na asilimia 31% ya wapagani, huku asalimia 31% ya wajapani hawaamini kabisa kama Mungu

FLORA MBASHA ACHUMBIWA RASMI ATAKA JINA LA MBASHA LIBADILISHWE NA KUITWA HIVI




Baada ya wanandoa ambao ni wanamuziki maarufu wa nyimbo za Injili, kuingia katika mzozo miaka minne iliyopita, mmoja wao Flora Mbasha amechumbiwa na anatarajiwa kufunga ndoa ya pili hivi karibuni mkoani Mwanza.

Sakata hilo linaweza kuibua mjadala miongoni mwa waumini wa dini ya Kikristo ambayo pamoja na kuruhusu ndoa kuvunjika, ni nadra sana kwa makanisa kuidhinisha suala hilo.

Habari za kuaminika  zinasema vikao vya maandalizi ya harusi hiyo vimeshaanza baada ya Flora

UTAJIRI WA MAKONDA KUCHUNGUZWA

SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema ipo tayari kuhakiki mali za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, endapo watapokea malalamiko kutoka kwa wanaomtilia shaka.
Hivi karibuni wakati akitangaza orodha ya watu wanaotuhumiwa kuuza, kuagiza na kutumia dawa za kulevya,  Makonda alijikuta akiingia katika vita ya maneno na wabunge.
Msingi wa vita yenyewe ni hatua ya baadhi ya wabunge kupinga utaratibu alioutumia Makonda kuwataja

advertise here