Tanzania inaendelea kujichukulia
headline baada headlines tuliona Coke Studio Africa iliwakutanisha Ali
Kiba na staa wa Marekani Ne-YO Nairobi kwenye kuandaa single mpya.
Ni mwaka 2015 na headlines zake za
uchaguzi mkuu Tanzania ambapo leo baadhi ya wagombea Urais wamefika
kwenye ofisi ya tume ya taifa ya uchaguzi Dar es salaam
255 leo inatokea Kenya..Kulikua na tukio la uzinduzi wa Coke studio
msimu wa tatu.. mastaa mbalimbali wa Afrika walikuwepo, leo Ice Prince
amezungumza na kusema amefurahi sana
Baada ya Lowassa kurejesha fomu ya kugombea Urais 2015 katika ofisi
za NEC, sasa ni time ya mgombea kutoka kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM)
, Dkt John Pombe Magufuli akiwa na