Tuesday, 7 July 2015

BREAKINGS NEWZ HELICOPTER YA WABUNGE YAPATA AJALI

LAYIIII
Stori imeanza kuenea leo jioni July 07 2015 kwenye Mitandao ya Kijamii, inahusisha Mbunge wa CHADEMA kupata ajali ya Helicopter.

Ajali ya Helicopter imetokea leo July 07 2015, ndani yake alikuwemo Mbunge wa CHADEMA

CHADEMAAR
Stori imeanza kuenea leo jioni July 07 2015 kwenye Mitandao ya Kijamii, inahusisha Mbunge wa CHADEMA kupata ajali ya Helicopter.
Kwenye ukurasa wa Twitter wa CHADEMA zimeandikwa post zinazoonesha Mbunge Joshua Nassari ndiye aliyepata ajali hiyo ya Helicopter, amepelekwa Hospitali kwa ajili ya matibabu pamoja na rubani na watu wengine ambao hawajatajwa.

 


UTATAKA KUJUA ALICHO KIFANYA TI KABLA YA KURUDI KWAO BAADA YA ILE FIESTA CHEKI HAPA MTU WANGU

LAYIII


KATIKA MAGAZETI YA LEO 7/7/2014

LAYIII

Polisi wazuia wageni Dodoma, Lowassa asukiwa zengwe na hukumu ya kina Yona, Mramba…#MAGAZETINI JULY7

GOOO 
MWANANCHI
Kamati ya Maadili na Usalama ya CCM itakutana kesho mjini Dodoma kuanza shughuli yake ya kupitia taarifa za wagombea 38 wanaoomba kuwania urais na kisha kuwasilisha ushauri wake kwenye kikao cha Kamati Kuu inayokutana keshokutwa.
Habari kutoka ndani ya CCM zinasema kuwa kamati hiyo inayoongozwa na mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete wakati mwingine hukasimisha shughuli zake kwa kamati ndogo inayoketi chini ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Philip Mangula.

MRAMBA ALIVOCHUKULIWA NA POLICE CHECK HAPA

LAYIII
July 6 2015 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu iliwahukumu mawaziri wa zamani kwenye serikali ya Tanzania awamu ya tatu, kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na faini ya milioni 5 baada ya kupatikana na hatia.

Video: Basil Mramba na Daniel Yona walivyochukuliwa na Polisi kupelekwa gere

MAPYA YAIBUKA FLOYD MAYWETHER HANA MKANDA WA USHINDI TENA

LAYIII

Floyd MONEY
Bingwa Floyd Mayweather kaingia kwenye headlines nyingine, kila mtu anajua kwamba Floyd ndio anayeongoza kwa kulipwa vizuri kwenye list ya Wanamichezo duniani, ni kweli kashindwa kulipa  dola 200,000?

Floyd Mayweather amenyang’anywa mkanda wake aliomshinda Manny Pacquiao?

LIJUE DAU LA KIUNGO HUYU HUKO BARCELONA

LAYIII
Klabu ya Barcelona imefikia makubaliano na Atletico Madrid kuhusu kumsajili kiungo Arda Turan kwa Pauni Milioni 29.
Winga huyo alizivutia pia klabu za Chelsea na Manchester United, lakini Barcelona imeshinda mbio za kuwania saini yake baada ya kufikiana makubaliano.

Barcelona yamaliza mpango wa kunasa saini ya kiungo huyu..unajua ni kwa dau gani?…

turan
Klabu ya Barcelona imefikia makubaliano na Atletico Madrid kuhusu kumsajili kiungo Arda Turan kwa Pauni Milioni 29.
Winga huyo alizivutia pia klabu za Chelsea na Manchester United, lakini Barcelona imeshinda mbio za kuwania saini yake baada ya kufikiana makubaliano.

KENYA 14 WAUWAWA NA ALSHABABU

LAYIII
Takribani watu 14 wameuawa, 11 wakijeruhiwa baada ya Al-Shabaab kushambulia kijiji cha Soko Mbuzi kilichopo jirani na Mji wa Mandera, Kaskazini Mashariki mwa Kenya usiku wa kuamkia leo. Mamlaka husika huko Mandera yathibitisha.

WATU 14 WAUAWA NA AL-SHABAAB NCHINI KENYA



Maofisa wa polisi wakiwa eneo la tukio lilipotokea shambulio lililoua watu 14 usiku wa kuamkia leo.
Takribani watu 14 wameuawa, 11 wakijeruhiwa baada ya Al-Shabaab kushambulia kijiji cha Soko Mbuzi kilichopo jirani na Mji wa Mandera, Kaskazini Mashariki mwa Kenya usiku wa kuamkia leo.

48 CCM ANAKATWA HAKATWI

LAYIII
WAKATI jina la waziri mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa likitajwa kila kona katika kinyang’anyiro cha kusaka nafasi ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), saa 48 zimesalia kufahamu kuwa jina la mgombea huyo litakatwa au halitakatwa katika mchujo wa kwanza, Uwazi linashuka nayo.

SAA 48 ZA ANAKATWA, HAKATWI

MAKONGORO OGING NA OJUKU ABRAHAM
WAKATI jina la waziri mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa likitajwa kila kona katika kinyang’anyiro cha kusaka nafasi ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), saa 48

advertise here