LAYIII
BONYEZA PICHA KUSKILIZA HADITHI KWA NJIA YA SAUTI
Wiki iliyopita ya Pasaka nilipewa taarifa na ndugu yangu sista alieolewa na muhindi, kwamba wanaomba msaada jumatatu saa6 usiku niwapeleke airport wanaelekea india, kwa sababu hawakua na gari, nikawakubalia, ilivyofika hjiyo cku nikawafuata saa 5 ucku, ili waandae mizgo yao kwanza.
Ghafla nashtuka namuona mtoto mrembo kavaa kanga ni mweupe akiwasaidia kubeba mabegi na kupakia kwenye gari, ikabidi nimuulize sista kwamba huyu dada ni nani, akanijibu ni dada wa nyumba ya pili hapo tumemuomba awe anakaa hapa kwa mda sisi tukiwa india, maana hapakua na mtu nyumba yote ile. nikamjibu OK, akili yote iliamia kwa yule mrembo.
Muda ukafika nikawapeleka airport nikakaa nao mpaka saa saba nikageuza kurudi zangu. nikasema hata lazima nirudi kulekule kwa sista nikamalizane nae yule mtoto, kwa kisingizio cha kusahau ufunguo. aisee nilikamua mafutaa mpaka mbez beach, ninakaa nao karbu umbali wa km3 toka kwao.