Sunday, 19 February 2017

BARNABA KAONGEA KUWA HANA MATATIZO NA MKEWE

BONYEZA PICHA HAPA JIUNGE NAMI YOUTUBE HABARI KWA NJIA YA VIDEO USIACHE KULIKE SHARE NA SUBSCRIBE

Mwimbaji wa bongofleva Barnaba Boy yupo kwenye vichwa vya habari za burudani kwa zaidi ya siku 5 sasa hivi baada ya habari zinazodaiwa kwamba ameachana na Mama mtoto wake.

Barnaba amehojiwa na The weekend chat show na kusema hayo ni maneno ya watu tu ila yeye hajagombana na mama watoto wake Mama Steven japo kila mtu ana matatizo.

ZITTO: MANJI SASA ANAKOMOLEWA, APOKONYWA HISA ZOTE ZA TIGO


BONYEZA PICHA HII HAPO KUJIUNGA NAMI HABARI KWA NJIA YA VIDEO YOUTUBE LIKE NA SUBSCRIBE USIPITWE NA HABARI ZETU

Yanayoendelea dhidi ya Yusuf Manji yanashabikiwa na baadhi yetu kwa sababu wanadhani hayatawafika. Tabia ya kukomoa mtu ni tabia mbaya na ina madhara makubwa katika nchi. Ni dhahiri kuwa Manji sasa anaonewa na kudhalilishwa ili kumkomoa kwa sababu ambazo watawala wanazijua wenyewe. 

advertise here