Tuesday, 30 June 2015

TUZO BET LAWAMA KIBAO

LAYIII
Siku hizi mbili zimekua na mfululizo wa baadhi ya Wasanii wa Afrika akiwemo Mghana FUSE ODG na Wanigeria Wizkid na Yemi Alade kuonyesha walivyokasirishwa na kituo cha TV cha BET cha Marekani kuwatenga Wasanii wa Afrika na wa Marekani kwa kutoa tuzo za Afrika asubuhi bila shamrashamra huku za kina Beyonce zikitolewa jioni.

50Siku hizi mbili zimekua na mfululizo wa baadhi ya Wasanii wa Afrika akiwemo Mghana FUSE ODG na Wanigeria Wizkid na Yemi Alade kuonyesha walivyokasirishwa na kituo cha TV cha BET cha Marekani kuwatenga Wasanii wa Afrika na wa Marekani kwa kutoa tuzo za Afrika asubuhi bila shamrashamra huku za kina Beyonce zikitolewa jioni.

JINSI MNYIKA ALIVYO IPAISHA ISSUE YA MAFUTA BUNGENI

LAYIII
Kwenye Kikao cha Bunge jana JUNE 29 2015 Naibu Spika Job Ndugai alimwomba Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage atoe ufafanuzi kuhusu ujumbe uliosambazwa kwa message na Mitandaoni kwamba kuna mgomo wa kuuza mafuta ya petroli na dizeli.

Kuna mgomo wa kuuza mafuta Tanzania? Mbunge John Mnyika kairudisha hii tena Bungeni.. (Audio)

IMG_1259 Kwenye Kikao cha Bunge jana JUNE 29 2015 Naibu Spika Job Ndugai alimwomba Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage atoe ufafanuzi kuhusu ujumbe uliosambazwa kwa message na Mitandaoni kwamba kuna mgomo wa kuuza mafuta ya petroli na dizeli.

YAJUE MANENO YA SALAMA JABIR JUU YA KIBA NA DIAMOND

LAYIII
Upinzani unaoendelea kati ya Diamond Platnumz na Ali Kiba unaofanywa  na mashabiki kwenye mitandao ya kijamii umepelekea mtangazaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir na muimbaji mkongwe wa Hip Hop  Solo Thang kushindwa kuvumilia na kuamua kuyatoa ya moyoni.

Salama Jabir na Solo Thang wameyasema haya yawafikie mashabiki wa Ali Kiba na Diamond

.
.
Upinzani unaoendelea kati ya Diamond Platnumz na Ali Kiba unaofanywa  na mashabiki kwenye mitandao ya kijamii umepelekea mtangazaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir na muimbaji mkongwe wa Hip Hop  Solo Thang kushindwa kuvumilia na kuamua kuyatoa ya moyoni.

KAMA UMEMISI KULIONA GHARI LA SOLA ALOTENGENEZA MWANAFUNZI MNAIJELIA HILI HAPA

LAYIII
 Ni lini wanafunzi wa tanzania watabuni vitu vyao na kuvifanyia kazi na je ni lini wanafunzi hao watakuza vipaji vyao kwa kufanya mambo ya mshangao duniani
cheki mwanachuo huyo

A student from the Obagemi Awolowo University, in Nigeria, has turned his gas-grid VW Beetle into a fully solar and wind powered car, leaving many wondering how he did it.
Segun Oyeyiola said his friends ridiculed him when he had the idea. He said his friends said it was not possible to create such a car. Now, not only has he done it, scientists and engineers are stunned at how he was able to turn the car into such a clean-energy vehicle.
According to Oyeyiola, he spent $6,000 to be able to transform the vehicle into the clean energy car it is today. He has installed a wind turbine in the hood and a giant solar panel on the roof with rechargeable solar batteries.
Oyeyiola said what motivated him to pursue this dream of getting a car that can run on renewable energy is to save the environment from pollution by fuel and gas engines.
Nigeria: Watch The VW Beetle Which Runs Completely On Solar and Wind Power [VIDEO]
“I wanted to reduce carbon dioxide emission going to our atmosphere that leads to climate change or global warming which has become a new reality, with deleterious effect: seasonal cycles are disrupted, as are ecosystems; and agriculture, water needs and supply, and food production are all adversely affected. Therefore, I came up of building a car that will use both winds and solar energy for its movement. This was my personal project because of the problem I’m planning to solve,” he

KATIKA HEADLINE LEO NI KUHUSU MAREHEMU ALIYE FUFUKA HUKO BAGAMOYO

LAYIII
Jana mji wa Bagamoyo uliingia katika taharuki kubwa baada ya habari kuenea kuwa kuna marehemu kafufuka baada ya kuthibitishwa na madaktari kuwa amefariki.
Timu ya Hekaheka ilifunga safari hadi Bagamoyo na kukuta umati wa watu katika nyumba ambayo marehemu alikua akiishi ikiwa ni muda mchache baada ya mwili wake kurejea kutoka hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo ambapo ndipo alipofariki.

Utata wa marehemu kufufuka Bagamoyo upo kwenye Hekaheka ya leo…(Audio)

ripJana mji wa Bagamoyo uliingia katika taharuki kubwa baada ya habari kuenea kuwa kuna marehemu kafufuka baada ya kuthibitishwa na madaktari kuwa amefariki.
Timu ya Hekaheka ilifunga safari hadi Bagamoyo na kukuta umati wa watu katika nyumba ambayo marehemu alikua akiishi ikiwa ni muda mchache baada ya mwili wake kurejea kutoka hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo ambapo ndipo alipofariki.

KAMA HUKUONA USAJIRI WA YANGA NIMEKULETEA HAPA MTU WANGU

LAYIII
Countdown ya story za Ligi Kuu Tanzania Bara imeanza mdogomdogo mtu wangu, tunasubiri August 2015 ili tuzione Timu zote kali zikitoana jasho kwenye viwanja tofauti vya Soka TZ

Yanga wamesajili hawa wawili leo, mmoja toka Ghana na mwingine toka Zimbabwe… (Pichaz)

YANGA
Countdown ya story za Ligi Kuu Tanzania Bara imeanza mdogomdogo mtu wangu, tunasubiri August 2015 ili tuzione Timu zote kali zikitoana jasho kwenye viwanja tofauti vya Soka TZ.
Magazeti ya Michezo TZ yana story nyingi, zipo Timu zilizoleta makocha wapya kwa ajili ya kujiandaa na ligi hiyo, wapo waliosajili wachezaji pia.. nimepita kwenye ukurasa wa Yanga na kukutana na story kwamba nao wameongeza vifaa vyao viwili, mmoja wao anatoka Zimbabwe na mwingine anatoka Ghana.
Mpaka sasa hawajatoa majina ya Wachezaji hao ila hizo ndio post zenye pichaz za Wachezaji hao wakisaini Mikataba yao na Klabu ya Yanga.
mchezaji kutoka ghana akisain kandarasi ya yanga leo hii tumeingia nae mkataba kama mchezaji wa @yangasc
@yanga_tv 
@erictz 
@mmarumbo


 


KAMA HUKUONA USAJIRI WA YANGA NIMEKULETEA HAPA MTU WANGU

ICHEKI KEJERI YA MUGABE KWA OBAMA

LAYIII
Ndani ya wiki moja baada ya Serikali ya Marekani kupitisha Sheria ya kuruhusu Ndoa za jinsia moja kwa raia wake kumekuwepo na maoni mbalimbali kutoka kwa watu kuhusiana na maamuzi hayo.

Maneno ya utani ya Rais Mugabe kwa Obama baada ya kuruhusu ndoa ya jinsia moja…

mugabe
Ndani ya wiki moja baada ya Serikali ya Marekani kupitisha Sheria ya kuruhusu Ndoa za jinsia moja kwa raia wake kumekuwepo na maoni mbalimbali kutoka kwa watu kuhusiana na maamuzi hayo.

RAMOS KAFANYA UAMUZI HUU BAADA YA MADRID KUGOMA OFA YA MAN U

LAYIII
Wiki moja baada ya ofa ya kwanza ya Manchester United kumsajili Sergio Ramos kukataliwa na Real Madrid, hatimaye mchezaji huyo ambaye yupo mapumzikoni ametoa kauli yake.

Baada ya Madrid kuikataa Ofa ya Man Utd, Ramos amefanya uamuzi huu

Wiki moja baada ya ofa ya kwanza ya Manchester United kumsajili Sergio Ramos kukataliwa na Real Madrid, hatimaye mchezaji huyo ambaye yupo mapumzikoni ametoa kauli yake.
United walituma ofa ya kwanza ya paundi millioni 28.3 kwa Madrid ili kupata saini ya beki huyo wa kimataifa wa Spain, lakini Madrid waliikata ofa hiyo.

NIMEKUWEKEA HAPA ILE VIDEO YA NAVIO FT MR BLUE MTU WANGU

LAYIIII


OYOOOOOOOO MTU WANGU UMESUBIRI SANA CHEKETUA YA ALIKIBA HII HAPA MTU WANGU

LAYIII

Ali KZilipita pichaz na vipisi tu lakini hii ndio video kamili ya Ali Kibachekecha‘ ambayo imefanywa South Africa wiki kadhaa zilizopita… ukishaitazama uache maoni yako kwenye comment Ali Kiba na team yake watapita kuona nini mashabiki wanasema.


Arsenal yampa Cech mkataba miaka minne

LAYIII
Hatimaye yametimia kwa Arsenal kupata saini ya mlinda mlango Petr Cech kutoka Chelsea kwa kitita cha pauni milioni kumi.
Mlinda mlango huyo wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Czech, ambaye amecheza zaidi ya mechi 400 katika misimu 11 akiwa na timu ya Chelsea, amejiunga na Arsenal the Gunners kwa mkataba wa miaka minne.
Cech, mwenye umri wa miaka 33, alicheza mechi saba tu msimu uliopita baada ya nafasi yake kunyakuliwa na mlinda mlango kutoka Ubelgiji Thibaut Courtois.
Cech amesema alifikiri angestaafia Stamford Bridge, alakini ameongeza kusema: "Maisha daima hayawi vile unavyofikiria yakawa."
Ameandika: "Msimu ulioopita wa kiangazi, mambo yalibadilika na nikaelewa kuwa sikuwa mlinda mlango chaguo la kwanza, lakini nilifikiria haukuwa wakati mzuri kwangu kuondoka.
"Wakati wa msimu huo, ilieleweka wazi kuwa hali yangu isingebadilika na kama ninavyofahamu siko katika kazi yangu ambapo nastahili kuwa- Niliamua kuondoka na kutafuta changamoto mpya."
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger anasema: "Petr Cech ni mchezaji ambaye nimemtamani kwa muda mrefu na nimefurahi sana ameamua kujiunga nasi."
Cech, alijiunga na Chelsea akitokea klabu ya Rennes ya Ufaransa Julai 2004 na kushinda makombe 13 akiwa na Chelsea - likiwemo kombe moja la klabu bingwa na mataji manne ya ubingwa wa ligi kuu ya England.

advertise here