Video
queen matata ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha redio moja jijini
hapa, Gift Stanford ‘Gigy Money’, ametema cheche akisema kuwa, watu wote
wanaomsema kwamba kutokana na kuvaa nusu utupu na kujiachia na midume
mbalimbali huenda ana maambukizi ya virusi vya Ukimwi, waache kwani kama
ni kweli basi wengi wangekufa kwa sababu ameshatembea na mastaa kibao
Bongo.
Baada
ya kuwa na tetesi za kuachana kwa Hip Hop Couple ya Nicki Minaj na Meek
Mill, Jan 5 2017, hatimae tumepata kauli ya mwisho kutoka kwa Nicki
Minaj kuhusu tetesi hizo.
Mbali
na kauli hiyo pia zilishaibuka tetesi Nov 21 mwaka Jana (2016) kuwa
Nicki Minaj amempata mwanaume wa kumrithi Meek Mill baada ya kumpiga
chini. Mwanaume huyo