Wednesday, 3 May 2017

MAALIM SEIF NI BORA KUKAA MEZA MOJA NA CCM KULIKO KUKAA MEZA MOJA NA LIPUMBA


Maalim Seif katika Mahojiano na Clouds asubuhi hii amesema kuwa hawezi kamwe kukaa meza moja na Profesa Lipumba.

Amesema ni bora akae na CCM kwani anawajua kabisa ni adui lakini si msaliti Lipumba na kusisitiza "Mimi siwezi kukaa na Msaliti"

advertise here