Sunday, 24 April 2016

MCHEZA MIELEKA NA NYOTA WA FILAMU ZA NGONO AFARIKI DUNIA

LAYIII

Aliyekuwa mchezaji miereka na nyota wa filamu za ngono Chyna amefariki akiwa na umri wa miaka 45.
Meneja wake amethibitisha habari hiyo kupitia mtandao wake wa Twitter.
''Ni masikitiko makubwa kutangaza kwamba tumempoteza shujaa'',ulisema ujumbe huo,akiongezea kuwa:Ataishi kukumbukwa na mashabiki wake wengi na sisi sote tuliompenda.
Chyna alipatikana amefariki nyumbani kwake katika ufukwe wa bahari wa Redondo,mjini California,baada ya kurudi nyumbani kutoka Japan.

WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA HIZI HAPA NDI SHIDA WANAZO ZIPATA

LAYIII

Mara nyingi wanaume wengi hupenda ama kuvutiwa na wanawake wenye makalio makubwa. kwa sasa mwanamke mwenye makalio makubwa yaliyojazia sawasawa huonekana anasoko kuliko wale wenye makalio ya wastani, Lakini mara nyingi hawadumu kwenye mahusiano kwani Wanaume wengi ambao hawana mapenzi ya kweli huwa wanataka kuonja tu na mara nyingi wanakuta kile ambacho hakutegemea hivyo kukimbia...na kumwacha mwanamke anaumia....Takwimu zinaonyesha wanawake wanene wanaongoza kuumizwa na wenza wao kulilo vipotaable...

MWANAMZII NGURI KUTOKA CONGO PAPA WEMBA AFARIKI DUNIA AKIWA JUKWAANI

LAYIII

Mwanamuziki nguli wa Congo Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba maarufu kama Papa Wemba amefariki dunia huko Abidjan, Ivory Coast, usiku wa kuamkia leo.

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema marehemu Papa Wemba amefia hospitali alikokimbizwa mara baada ya kuanguka na kupoteza fahamu wakati akiwa katika onesho jukwaani.

advertise here