LAYIII
USIACHE KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE BONYEZA PICHA
USIACHE KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE BONYEZA PICHA
Stori: Sifael Paul, Ijumaa
Dar es Salaam: Mjini hakukaliki! Mkakati
wa Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ wa kupambana na biashara haramu
ya dawa za kulevya ‘unga’ hapa nchini, umeiva ambapo uchunguzi wa gazeti
hili umebaini kwamba unawatumia baadhi ya mastaa Bongo kuwakamata
vigogo wanaojihusisha na biashara hiyo.