Thursday 10 March 2016

SKIA ALICHOSEMA NAJ KUHUSU KUTOKA KIMAPENZI NA BARAKA DA PRINCE

LAYIII
  Bonyeza picha kujiunga nasi youtube
Msanii bongo fleva Naj amevunja ukimya na kusema kuwa yeye hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na msanii Baraka da Prince.

Hatua hiyo imekuja baada ya kuenea habari kuwa anatoka kimpenzi na msanii huyo na kusisitiza kuwa Baraka ni rafiki yake wa karibu na hakuna zaidi.



“Mimi baraka ni mchizi wangu wa karibu sana hakuna mapenzi kati yetu,ila siwezi kubadilisha mawazo ya watu kwa sababu wameshafikiria wanavyojua wao” alisema Naj na kuongeza toka aanze urafiki na baraka wana kama mwezi.

JIUNGE NAMI YOUTUBE BONYEZA PICHA HAPO CHINI
https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA
 

No comments:

Post a Comment

advertise here