Sunday 13 March 2016

VIJUE VIWANJA VYA NDEGE HATARI DUNIANI

LAYIII
Wakati Tanzania magari yanasimama treni ipite spain magari yanasimama ndege ipite mtu wangu. Kuna hatari nyingi sana duniani na hii ni moja ya hizo hatari….. inanishtua hata mimi kuona kiwanja cha ndege kipo pembeni ya bahari yani Pilot akikosea kidogo tu inakua stori nyingine, tazama hii video hapa chini.
PICHA ZOTE NA LINK YA VIDEO ZA VIWANJA VYA MAAJABU NA HATARI DUNIANI

(JE ULIIJUA HII ) GARI LINALOJIENDESHA LA GOOGLE LAGONGA BASI

LAYIII
Gari moja la Google linalojiendesha liligonga basi moja mjini California mwezi uliopita.Hakuna mtu aliyejeruhiwa.Sio mara ya kwanza kwa gari linalojiendesha la kampuni ya Google kuhusika katika ajali,lakini huenda ni mara ya kwanza kwa magari hayo kufanya ajali.Kampuni ya Google inataraijiwa kukutana na idara ya magari mjini California ili kuzungumzia kuhusu kisa hicho na kubaini ni nani wa kulaumiwa.
 







https://www.youtube.com/watch?v=9sM6NHl7Xzw
Mnamo tarehe 14 mwezi Februari gari hilo ambalo lilikuwa likisafiri kwa kasi ya kilomita 3 kwa saa liligonga basi moja la umma lililokuwa likisafiri kwa kasi ya kilomita 24 kwa saa.
Mtu aliyekuwa katika gari hilo la Google aliripoti kwamba alidhani basi hilo

KAMA HUKUJUA HIZI NDIO SIMU ZITAKAZO ACHA KUTUMIA WHATSUP YAANI ZITATUPWA NA WHATSUP APPL

LAYIIII
Huduma ya WhatsApp haitatumika tena katika simu zinazotumia mifumo kadha ya programu ikiwemo Blackberry 10, Nokia Symbian S60 na Windows Phone 7.1.
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO YA NAMNA YA KUHACK FACEBOOK
WhatsApp 
Kampuni ya Facebook inayomiliki huduma hiyo imesema inataka kuangazia kustawisha “huduma katika mifumo inayotumiwa na watu wengi.”
WhatsApp, itaacha kufanya kazi katika mifumo hiyo ya programu kufikia Desemba 2016.
Licha ya kuacha kutumika katika simu nyingi za Blackberry, WhatsApp bado itaendelea kutumiwa katika simu za kisasa zaidi za Blackberry kwa sababu simu hizo hutumia mfumo wa Android.

KAINGIA KITANZINI BAADA YA KUSEMA MUGABE NI MZEE

LAYIII
Afisa mmoja wa polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya kulaumiwa kwa kusema kuwa rais Robert Mugabe ambaye sasa ana umri wa miaka 92 ni mzee sana kuwa kiongozi. Thomson Joseph Mloyi pia anadaiwa kumtusi mkewe rais Mugabe, Grace, kuwa kahaba kwa mujibu wa gazeti la kibinafsi nchini humo.
 BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI MATUKIO KWA NJIA YA VIDEO



Rais Mugabe

Afisa mmoja wa polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya kulaumiwa kwa kusema kuwa rais Robert Mugabe ambaye sasa ana umri wa miaka 92 ni mzee sana kuwa kiongozi.

advertise here