Wednesday, 13 April 2016

HILI NALO JIBU KIJANA UKITAKA KUOA UO MANAMKE MWENYE NYOTA WENGINE MBWEMBWE

LAYIII

Kuna kitu kipo lakini watu hawajui au hawjawahi kukifikiria!! Nacho ni Nyota ya mwanamke!! Ndio nyota
Leo nimeambiwa kisa kimoja ambacho kimelipua mawazo yangu yaliyolala kwa kitu ambacho nilshakua nakuona
STORY
Kuna jamaa yangu anataka kuoa mke wa pili baada ya kuombwa na mke wa kwanza afanye hivo!!Jamaa kamuoa mke wa kwanza miaka michache iliopta na alikua mambo safi kwa sabab bahati

MBONA HATUELEWI HAMA HAMA YA WATANGAZAJI A RADIO

LAYIII

Watangazaji sasa wanabadilisha vituo kama team za soccer.

Gadner katoka Efm kaenda Clouds.

PJ na Hando wametoka Clouds wameenda Efm.

Jabir saleh na Bi Hindu wametoka Times fm wameenda Efm.

Dj Senyorita na Mami wametoka East Africa radio wameenda Clouds.

DIAMOND SIPENDI KUISHI MAREKANI NIMENUNUA NYUMBA SOUTH AFRICA

LAYIII

Msanii Diamond Platnumz amefunguka kuhusu suala la yeye kutonunua nyumba nchini Marekani kama wasanii wenzake wakubwa wa Afrika wanavyofanya.

Diamonda amefunguka hilo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kuwa haoni umuhimu wa yeye kununua nyumba Marekani, tofauti na alivyonunua Afrika Kusini, kwani kule ilimlazimu.

MUGABE SIFI HADI NIFIKISHE MIAKA 100

LAYIII
Mugabe:Sifi hadi nifikishe miaka 100.
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Februari mwaka huu ametimiza umri wa miaka 92 lakini lengo lake anasena ni kuishi miaka 100. Mwanasiasa huyo alizaliwa Februari 21, 1924. “Nina furaha kwa sababu nakaribia kufikia umri ninaotaka. Unajua umri ninaotaka kufika, miaka 100 kwa hiyo imebaki miaka minane tu,” anasema Rais Mugabe wakati anahojiwa na Shirika la Utangazaji la Zimbabwe (ZBC).

advertise here