Sunday, 26 July 2015

WEMA AJA UPYA AONESHA KUWA UBUNGE KWAKE SI KITU

LAYIII

.
.
Wema Sepetu alikuwa ni miongoni mwa watu wanaogombea ubunge viti maalumu mkoani Singida lakini hakuwa na bahati ya kushinda au kuingia bungeni kutokana na kura zake kuwa ndogo.
Staa huyo aliibuka na kupata kura za maoni za ubunge 90 huku wagombea wenza wakiongoza kwa

Matokeo ya mechi za July 26 na ratiba ya Robo fainali Kagame Cup 2015

LAYIII

kombeHatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Kagame imemalizika July 26 kwa timu tano kuaga mashindano hayo na timu nane kusonga katika hatua ya robo fainali itakayoanza siku ya Jumanne July 28… Timu zilizo tolewa mashindanoni kwa uchache wa

ILI KUFUZU KUINGIA FINAL ZA KOMBE LA DUNIA 2018 TANZANIA LAZIMA ITAKUTANA NA KITU HIKI

LAYIII
 
tanzania-flagSafari ya kuelekea Kombe la Dunia 2018 Urusi imeshaanza kwa Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA kupanga makundi na ratiba ya michuano hiyo ili kupata timu  zitakazoshiriki fainali hiyo June 2018 Urusi… Droo ya kupanga makundi imefanyika July 25 St Petersburg Urusi.
http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/07/Taifa-stars.jpg 
Kufuatia kupangwa kwa makundi hayo timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itaanza kucheza hatua ya mtoano na timu ya taifa ya Malawi October 5 2015 kabla ya

MWANASAYANSI ALIYEPOTEA MWEZINI ALEJEA TENA AKIWA NA MWONEKANO WA TOFAUTI KABISA INASEMEKANA ALIENS WALIMFANYIA UTAFITI

LAYIII

Kiumbe wa ajabu ametua los angels na baada ya kuchukuliwa kupelekwa katika vipimo ikagundulika kuwa ni miongoni mwa wanasayansi ambao waliwai kupotea wakiwa huko angani wakiwa wanafanya utafiti mwezini

advertise here