Sunday 26 July 2015

MWANASAYANSI ALIYEPOTEA MWEZINI ALEJEA TENA AKIWA NA MWONEKANO WA TOFAUTI KABISA INASEMEKANA ALIENS WALIMFANYIA UTAFITI

LAYIII

Kiumbe wa ajabu ametua los angels na baada ya kuchukuliwa kupelekwa katika vipimo ikagundulika kuwa ni miongoni mwa wanasayansi ambao waliwai kupotea wakiwa huko angani wakiwa wanafanya utafiti mwezini

Inasemekana mwanasayansi huyo alichukuliwa na aliens kwa ajiri ya utafiti ili kujua maisha ya binadamu yako vipi na baada ya hapo kujaribu kumtengeneza ili awe na mwonekano wao. Walipoona wameshindwa kabisa ikabidi wamrudishe duniani akiwa kiumbe wa ajabu kama unavoona katika video hapo chini

baadhi ya aliens videos walioonekana na kikundi cha utafiti wa anga NASA


MWANASAYANSI ALIYE RUDI DUNIANI AKISHUDIWA NA BAADHI YA WATU

No comments:

Post a Comment

advertise here