Saturday, 18 March 2017

TUNDU LISSU AANDIKA HISTORIA NYINGINE MTU WANGU


Mwanasheria Mkuu Chadema Tundu Lissu achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa jumla ya kura 1,411 kati ya 1,682 zilizopigwa.
Mwanasiasa Julius Mtatiro ambaye kwa sasa yupo jijini Arusha amethibitisha ushindi huo wa Tundu Lissu 
"Wakili msomi Mhe.Tundu Lissu ameshinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata kura

TUNDU LISSU ASHINDA URAIS TLS KWA KISHINDO

Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu Mapema Hii Leo ameweza kuibuka na ushindi wa kishindo cha Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kwa Kujizolea Asilimia 88 ya Kura Zote.

LIZUIE KWAPA LAKO KUNUKA KWA NJIA HIZI HAPA

Kikwapa  ni  tatizo la kutoa harufu mbaya  sehemu ya kwapani katika mwili wa binadamu. Tatizo la kikwapa husababishwa na bakteria wanaovutiwa na jasho au unyevunyevu  chini ya kwapa.
Tatizo la Kikwapa ni kero kwa sababu husababisha mtu kutoa harufu inayokuwa kero kwako na kwa mtu mwingine aliyeko jirani yako.

Ili kwapa lako liwe na harufu nzuri, kavu na safi fanya yafuatayo
  • Paka kipande cha limao kwenye kwapa na kuacha lipate hewa  safi ili kuua vijidudu na kutoa tezi za jasho kuondoa harufu mbaya
  • Vaa nguo safi zenye nyuzinyuzi za asili kama pamba, hariri na sufu zitasaidia kufyonza

UJUMBE WA LOWASSA KWA RAIS MAGUFULI

Image result for lowassaAliyekuwa Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa, amemtaka Rais Dkt. John Magufuli kuifuta kauli yake ya kuwataka wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wasishirikiane na wabunge wa vyama vya upinzani.

KIAINA AINA JPM AMDISI WEMA SEPETU KUHAMA CHAMA


Magufuli akiwakaribisha wasanii kwenye mkutano wa CCM Dodoma aliwasifu kuwa ni wasanii wazuri na sio kama yule mwingine aliyehamia upande wa pili

advertise here