Saturday, 18 March 2017

TUNDU LISSU AANDIKA HISTORIA NYINGINE MTU WANGU


Mwanasheria Mkuu Chadema Tundu Lissu achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa jumla ya kura 1,411 kati ya 1,682 zilizopigwa.
Mwanasiasa Julius Mtatiro ambaye kwa sasa yupo jijini Arusha amethibitisha ushindi huo wa Tundu Lissu 
"Wakili msomi Mhe.Tundu Lissu ameshinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata kura
1,411 kati ya kura 1,682 zilizopigwa, sawa na ushindi wa 84% ya kura zote." Ameandika Julius Mtatiro 

No comments:

Post a Comment

advertise here