Sunday, 8 March 2015
Mmiliki wa Facebook amenunua huu upande wa kisiwa cha Hawaii.
Mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg amenunua
sehemu kubwa ya kisiwa cha Hawaii iitwayo Kauai ambayo ni hekari 700 kwa
dola za Kimarekani milioni 100 ambapo atakuwa anamiliki eneo kubwa
ambalo litaendana na hadhi ya bilionea, jarida la Forbes limeripoti.
Hekari hizo 700 zitajumuisha beach resort, mashamba ya miwa na kilimo hai ambapo kwa sheria za Hawaii beach resort hiyo lazima iachwe wazi kwa matumizi ya jamii kwa sababu kisiwa hiko hakina sheria ya umiliki binafsi wa mchanga.

Subscribe to:
Posts (Atom)