Friday, 2 December 2016

MELI YA TITANIC YAONEKANA CHINA

China kutengeneza meli inayofanana na 'Titanic' BONYEZA picha hapo chini kuiona videomfano wa mashua ya Titanic

Mashua sawia na iliyotengenezwa katika mji mkuu wa Belfast huko Ireland ya Titanic itawekwa katika eneo la kumbukumbu la theme park nchini India.
Ujenzi huo wa mashua hiyo yenye urefu wa kina cha mita 269, itawekwa katika hifadhi iliyoko mashambani , katika mkoa wa Sichuan, .

KUHUSU KUFUNGWA KWA KIWANDA CHA DANGOTE


BEI ya simenti imeanza kupanda katika baadhi ya maeneo nchini, imefahamika.

Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA unaonyesha kuwa bei hiyo imepanda zikiwa ni siku chache baada ya kiwanda cha simenti cha Dangote kilichoko mkoani Mtwara, kusimamisha uzalishaji kutokana na gharama kubwa ya uzalishaji.

GODBLESS LEMA ANYIMWA DHAMANA KWA MARA NYINGINE TENA


Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemnyima dhamana Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema. Mahakama hiyo imeeleza kuwa mawakili wamtuhumiwa huyo walipaswa kuonesha kusudio la kukata rufaa ndani ya siku10 kabla ya kukata rufaa.

advertise here