Monday 4 April 2016

LADY JAYDEE SIJAMPIGA VIJEMBE GARDNER KATIKA WIMBO WANGU

LAYIII
BONYEZA PICHA HAPA KUJIUNGA NA MTOTO HAPPY
https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk
MKONGWE wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa katika wimbo wake mpya wa Ndindindi, hajampiga kijembe  aliyekuwa mumewe, Mtangazaji Gardner G. Habash kama wengi wanavyodhani.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Jide alisema wimbo huo ulitungwa na watu wake tofauti na yeye kuukamilisha hivyo kwa kuwa umebeba ujumbe mzito ni rahisi mtu kuhisi amemuimba mtu fulani kumbe yeye aliimba kwa ajili ya mashabiki wake wote.

BABU TALE AELEZEA NAMNA ALIVYOSAIDIWA NA RAY C KABLA HAJAJULIKANA

LAYIII
BONYEZA PICHA YA TALE KUMSIKILIZA MTOTO HAPPY USIACHE KUSUBSCRIBE YOUTUBE
Babu-Tale


 Meneja wa Tip Top Connection na WCB, Babu Tale, amefunguka kuwa anatamani kumsaidia Ray C kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya na kumrejesha vizuri kwenye muziki kama zamani kwakuwa naye aliwahi kumsaidia.

Akiongea kupitia kipindi cha The Playlist cha Times FM, Jumamosi iliyopita, Tale alidai watu wengi hawajui Ray C alimsaidia kwa kiasi kikubwa kukaa kwenye ramani nzuri kisanaa kama alivyo leo.

CUF: HATUMTAMBUI SHEIN KAMA RAIS ZANZIBAR

LAYIII
BONYEZA PICHA KUSHUHUDIA SHEREHE ZA UKAWA KIPINDI CHA UCHAGUZI WA BARAZA LA MAWAZIRI
CUF
Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar kimesema hakimtambui Dkt Mohamed Ali Shein aliyetangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi uliopita.
Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF), wakizungumza kwa mara ya kwanza tangu kufanyika kwa uchaguzi huo ambao chama hicho kilisusia, wamesema hawamtambui Dkt Shein kama rais wa visiwa hivyo.
“Tangu mapema, tangu Jecha (Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha) alipofuta uchaguzi, tulisema waziwazi kwamba haikuwa halalali. Walipoitisha uchaguzi wa marudio, tulisema waziwazi

MAGUFULI AFUTA SHEREHE ZA MUUNGANO

LAYIII
KAMA HUKUONA ZILE SHEREHE ZA CHADEMA KIPINDI CHA UCHAGUZI UNAWEZA BONYEZA PICHA HII
Magufuli
Rais wa Tanzania John Magufuli ameahirisha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Muungano na badala yake akawataka Watanzania waiadhimishe wakiwa majumbani au wakiwa katika shughuli zao binafsi.
Siku hiyo hata hivyo bado itasalia kuwa ya mapumziko kama kawaida. Agizo hilo la Dkt Magufuli aidha linaathiri shamrashamra za mwaka huu pekee.

advertise here