Tuesday 23 June 2015

DIAMOND KUPATA URAIA WA NCHI TATU TANZANIA AFRIKA KUSINI NA NIGERIA CHANZO HAPA CHINI

LAYIII.
Diamond loves south Africa and Nigeria because of the big support getting from our fellow brothers and sisters from that nation's since he release my number one remix he started to penetrate the African

CAN THIS PROVE SOON DIAMOND HE WILL BECOME SOUTH AFRICAN CITIZEN? WATCH THIS VIDEO YOU WILL GET THE ANSWER!! 

Diamond loves south Africa and Nigeria because of the big support getting from our fellow brothers and sisters from that nation's since he release my number one remix he started to penetrate

SASA NI VITA KALI KATI YA ALI KIBA NA DIAMOND JIONEE MWENYEWE HAPA

LAYIII
VITA! Saa chache tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar akitokea nchini Marekani kwa shughuli za kimuziki, staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametangaza kile kinachotafsirika kuwa ni vita dhidi ya hasimu wake kwenye anga la muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori.

ALI KIBA ATANGAZA VITA NA DIAMOND!

Brighton Masalu
VITA! Saa chache tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar akitokea nchini Marekani kwa shughuli za kimuziki, staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametangaza kile kinachotafsirika kuwa ni vita dhidi ya hasimu wake kwenye anga la muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori.

BAADA YA INDIA SASA NI PAKISTAN (JOTO LAENDELEA KUUWA WATU)

LAYIII
Jiji la Dar es salaam ndilo linaloongoza kwa kuwa na joto sana kwa Tanzania na kuna kipindi watu hulalamika uwepo wa joto kali na wengine kulazimika kulala nje wakati wa usiku ili kuepukana na adha hiyo.

Baada ya India hii ni idadi kubwa nyingine ya vifo vya watu kutokana na joto Pakistan..

pakistannn
Jiji la Dar es salaam ndilo linaloongoza kwa kuwa na joto sana kwa Tanzania na kuna kipindi watu hulalamika uwepo wa joto kali na wengine kulazimika kulala nje wakati wa usiku ili kuepukana na

JUA NINI NORTH KOREA WAMEAMUA KUHUSIANA NA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII

LAYIII
North Korea wamechukua hatua kali za kulinda siri za nchi baada ya kukerwa na vitendo vinavyo ashiria uvujaji wa siri za nchi hio. Kwa muda sasa North Korea imekua ikijitahidi kupambana na uvujaji wa taarifa kutoka nchini humo kwenda kwenye mtandao wa Instagram ambao baada

North Korea imeamua haya kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii!!

IG 3
North Korea wamechukua hatua kali za kulinda siri za nchi baada ya kukerwa na vitendo vinavyo ashiria uvujaji wa siri za nchi hio. Kwa muda sasa North Korea imekua ikijitahidi kupambana na

Fid Q aja na kampeni ya ‘TUVISHANE’, wasanii wa Arusha waungana kusaka vipaji, Je ni kweli Ali Kiba ana bifu?…#255 (Audio)

layiii
Leo Perfect Crispin kapiga stori na Farid Kubanda, ameanzisha kampeni ya TUVISHANE, ikiwalenga wale wote ambao hununua nguo nzuri na kujikuta hawazivai kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kudai zimepitwa na

kiba
Leo Perfect Crispin kapiga stori na Farid Kubanda, ameanzisha kampeni ya TUVISHANE, ikiwalenga wale wote ambao hununua nguo nzuri na kujikuta hawazivai kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kudai zimepitwa na wakati na yeye kuona umuhimu wa kuanzisha kampeni ya kuomba watu kujitokeza kuwapa nguo wale watu ambao hawana uwezo ili ziweze kuwasaidiaameona awaombe watu kujitokeza kuwasaidia watu ambao wameona hawavai.

MAANDALIZI YA KONGAMANO LA MAARIFA NA UCHUMI MJINI MAKAMBAKO NA KAMPUNI YA TANZANIA BUSINESS CREATIONS COMPANY LIMITED

NA LAYIII ON SPOT


 Ungana na mwalimu irene hapa katika pozi akiandaa masomo  

ukumbi wa green city mjini makambako


KATIKA HEADLINE LEO MSHAHARA ANAOLIPWA KOCHA WA SIMBA YAPATE YA DR. SLAA

LAYIII
MWANANCHI
CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25.
Katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye alisema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye viwanja vya Nyehunge wilayani hapa.

Mshahara atakaolipwa kocha mpya wa Simba, NAPE na ushindi wa CCM na BVR yazua vurugu Z’bar…#MAGAZETINI JUNE23

BETA
MWANANCHI
CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25.
Katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye alisema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye viwanja vya Nyehunge wilayani hapa.

IJUWE SABABU YA NIKI MINAJI KUIAMA CASH MONEY

LAYIII
Msanii na mmoja kati ya watu wanaounda team ya Cash Money Records Lil Wayne aliingia kwenye headlines kipindi cha nyuma 

Drake na Nicki Minaj kuondoka Cash Money Records!? Stori nzima ipo hapa.

Nicki-Minaj-and-Drake 2
Msanii na mmoja kati ya watu wanaounda team ya Cash Money Records Lil Wayne aliingia kwenye headlines kipindi cha nyuma kwa madai ya kutaka kutoka katika label hio ya muziki.

HATIMA YA SUGU MAHAKAMANI BOFYA HAPOOO

LAYIII
Ni habari ambayo imeandikwa na gazeti ya Mwananchi June 23 2015 ikitokea Mahakamani Manzese Dar es salaam kuhusu kesi iliyokua imefunguliwa na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi kuhusu mke wake wa zamani.

Maamuzi ya Mahakama kuhusu kesi aliyoifungua Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ dhidi ya mkewe wa zamani

Sugu 1Ni habari ambayo imeandikwa na gazeti ya Mwananchi June 23 2015 ikitokea Mahakamani Manzese Dar es salaam

advertise here