Tuesday, 23 June 2015

BAADA YA INDIA SASA NI PAKISTAN (JOTO LAENDELEA KUUWA WATU)

LAYIII
Jiji la Dar es salaam ndilo linaloongoza kwa kuwa na joto sana kwa Tanzania na kuna kipindi watu hulalamika uwepo wa joto kali na wengine kulazimika kulala nje wakati wa usiku ili kuepukana na adha hiyo.

Baada ya India hii ni idadi kubwa nyingine ya vifo vya watu kutokana na joto Pakistan..

pakistannn
Jiji la Dar es salaam ndilo linaloongoza kwa kuwa na joto sana kwa Tanzania na kuna kipindi watu hulalamika uwepo wa joto kali na wengine kulazimika kulala nje wakati wa usiku ili kuepukana na
adha hiyo.
Hivi karibuni India iliingia kwenye headlines baada ya kutokea kwa vifo vya watu zaidi ya 500 kutokana na kuongezeka kwa joto lililofikia nyuzijoto 48.
pakistan
Taarifa ilitotufikia inayofanana na hiyo inatokea kule Pakistani ambapo mpaka sasa idadi ya watu 700 tayari wamepoteza masiha kutokana na ongezeko la joto lililofikia nyuzi joto 45 huku Waziri mkuu wa nchi hiyo Nawaz Sharrif akitaka hatua za dharura zichukuliwe mara moja kukabiliana na hali hiyo.
paki
Tayari Jeshi limepelekwa katika eneo la Kusini mwa mji wa Karach ambapo ambapo idadi kubwa ya vifo imetokea na kujenga vituo vya kukabiliana na joto hilo ili kuisaidia Mamlaka ya kukabiliana na majanga ya dharura.
Inasemekana watu walioathirika zaidi ni watu wazima ambao wana kipato cha chini huku wengine wakiwa katika hali mbaya.

 


No comments:

Post a Comment

advertise here