Sunday, 12 July 2015

EBANAA EEE CHEKI JAMAA ANAVO MLEA MTOTO KISTYLE UTAPENDA

LAYIII
SHARE NAMI KWA WENGINE KAMA UMEIPENDA HIII
Kwanza huyu jamaa  alianza na style ya kawaida tu ya kumbeba mtoto nahisi na wewe utakua unaijua, me najua hii style mar nyingi hutumika  kama mtoto analia au una kazi flan hivi unafany ndio unambeba kwa style hii. Kumbe Kwa Kidhungu inaitwa  ‘Standard Shoulder Hold’ and ‘Reverse Standard Shoulder Hold.’…………… Me Nilikua cjui
Lakini sasa baada ya hapo akaleta style zingine za ajabu ajabu ambazo for really its very fuuny

ONA KIPOFU ALIVYO PATA PESA YA KWENDA STUDIO KUTOKA KWA WAPITANZIA

LAYIII
Eddie alikua kipofu kabisa wakati akiwa na miaka 11 na kazi yake ya kujipatia kipato ikawa na kucheza gitaa katka mitaa ya Florida UAS… I mean USA..
So eddie amekua anabarikiwa sana, sana sana, yaaani sana na watu kumchangia kwa miaka mingi sana, tena sana…….. lakini sasa unajua hizi ela anazopata huyu jamaa anazifanyia nini, wala ja


NIMEAMUA KUSHEA NA WEWE VIDEO HII ILI UPUNZISHE AKIRI YAKO BAADA YA UCHOVU MKUBWA

LAYIII


KWA NDUGU ZANGU WALEMAVU TEKNOLOJIA HII NI MSAADA SANA KWAO

LAYIII

Kwanza muonekano wake ni Simple Tu

kitu cha kupanda ngazi kwako kinaweza ni kitu rahisi sana ila kwa kweli inaweza kuwa ni kitu kigumu kwa wale walemavu ambao hawawezi kupanda hizo ngazi, ila sasa kiti cha Scalevo

MAN U NI MWENDO WA KUSAJIRI VIUNGO VIPYA TU CHEKI GINGI HILI

LAYIII
Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa TorinoMatteo Darmian baada ya kufuzu vipimo vya afya.
Mchezaji huyo  ambaye ameichezea klabu yake mechi 146 na kuifungia mabao matano wakati akiwa na timu hiyo na sasa amekubali Mkataba wa miaka minne Old Trafford.   

Mkali mwingine aliyesajiliwa na Manchester United huyu hapa…

mateo
Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa TorinoMatteo Darmian baada ya kufuzu vipimo vya afya.

MOJA BORA YAPATIKANA CCM

LAYIII
 Yaone matokeo hapa sasa
July 12 2015 Tanzania ilikuwa inasubiri kwa hamu kujua Mgombea yupi anasimamishwa na CCM kwenye nafasi ya Urais 2015, ninayo Ripoti nyingine kutoka Dodoma sasahivi!!

Kwenye watatu waliopitishwa kwenye Urais CCM matokeo ya mwisho ni haya hapa… #CCMDodoma

DSC_2987
July 12 2015 Tanzania ilikuwa inasubiri kwa hamu kujua Mgombea yupi anasimamishwa na CCM kwenye nafasi ya Urais 2015, ninayo Ripoti nyingine kutoka Dodoma sasahivi!!
Kura zimepigwa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM na matokeo yako hivi >>> John Pombe Magufuli 87%, Balozi Amina Ali 10% na Asha-Rose Migiro 3%.

 


UCHAGUZI WAHAIRISHWA

LAYIII
Hii ilikuwa ni mara ya tatu kwa uchaguzi huo kuahirishwa baada ya tume ya uchaguzi kuahirisha uchaguzi kwa majuma matatu kutokea tarehe 26 Juni hadi tarehe 15 Julai

Burundi:Uchaguzi waahirishwa tena 

Uchaguzi wa Burundi umeahirishwa tena.
Msemaji wa Rais Pierre Nkurunziza amesema uchaguzi utafanyika tarehe 21 Julai.
Uchaguzi huo umekumbwa na utata baada ya makundi ya upinzani kuandamana na kupinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.

advertise here