Tuesday, 18 August 2015

KWA KILECHA SINTOFAHAU LULU AJIACHIA NA DIAMOND USIKU WA MANANE

LAYIII

Mwandishi Wetu
UCHOKOZI! Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ëLuluí anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya kudaiwa ‘kujibebisha’ kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ëDiamond Platnumzí, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni kumchokonoa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

KAKOSA KAZI YA URUBANI NA KUISHIA JELA

LAYIII
baltic
Usafiri wa anga japo kumekuwa na Ripoti mfululizo kuhusu ajali za ndege lakini bado, usafiri wa anga unaendelea kuwa usafiri salama zaidi Duniani.

KICHUPA HIKI CHA TYGA NI OFFER TOSHA KWA WANAHIP HOP

LAYIII

tyga2
Msanii wa Hip Hop Marekani kutoka kwenye kundi la Cash Money Records Tyga amerudi kuziweka headlines zake kwenye ubao wa burudani.

EBANA EEE NGOMA MPYA YA 50 CENT YAINGIA HEADLINE MAREKANI

LAYIII

9 shots
50 Cent amerudi kuziandika headlines zake kwenye kurasa za burudani, baada ya headlines nyingi za yeye na issue za mali na Mahakama 50 kaamua atupooze kidogo. Siku chache zilizopita 50 Cent aliachia kichupa kipya alichokipa jina 9 Shots.

MATOKEO YA Liverpool vs AFC Bournemouth (picha&video) NIMEKUWEKEA HAPA

LAYIII
Klabu ya Liverpool imeshuka dimbani August 17 kukipiga na klabu ya AFC Bournemouth iliyopanda Ligi Kuu Uingereza msimu huu, huu ukiwa ni mchezo wa pili kwa kila timu, Liverpool imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kuanza kuona matunda ya usajili wa mchezaji Christian Benteke iliomsajili msimu huu kutokea klabu ya Aston Villa.
Liverpool-vs-Bournemouth-Prediction-and-Preview
Kwa upande wa AFC Bournemouth hii sio historia nzuri kwani imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika Ligi Kuu Uingereza msimu huu, goli pekee la Christian Benteke dakika ya

HUU NDO MWONEKANO WA MABASI YAENDAYO KASI

LAYIII

.
.
Jana nilikusogezea stori kuhusiana na huu mradi wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) sasa hapa ni time ya kuona hizi picha za muonekano wa mabasi hayo kwa ndan na nje..

advertise here