LAYIII
Hii ni video ya goli la Benteke
Klabu ya Liverpool imeshuka dimbani August 17 kukipiga na klabu ya AFC Bournemouth iliyopanda Ligi Kuu Uingereza msimu huu, huu ukiwa ni mchezo wa pili kwa kila timu, Liverpool imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kuanza kuona matunda ya usajili wa mchezaji Christian Benteke iliomsajili msimu huu kutokea klabu ya Aston Villa.
Kwa upande wa AFC Bournemouth hii sio historia nzuri kwani imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika Ligi Kuu Uingereza msimu huu, goli pekee la Christian Benteke dakika ya
26 kipindi cha kwanza lilitosha kuifanya klabu ya Liverpool kuondoka na point tatu muhimu za mchezo huo.
26 kipindi cha kwanza lilitosha kuifanya klabu ya Liverpool kuondoka na point tatu muhimu za mchezo huo.
Hizi ni Picha za mchezo mtu wangu.
Hii ni video ya goli la Benteke
No comments:
Post a Comment