LAYII
Kama umebahatika kukatisha makutano ya barabara ya Mandela na Nyerere pale eneo la mataa ya TAZARA
utakuwa umekutana na bango linaloonesha dalili nzuri… ni dalili za ujio
wa flyover, zile barabara ya juujuu kwa ajili ya kusaidia kuokoa foleni
eneo lile.