Showing posts with label technolojia. Show all posts
Showing posts with label technolojia. Show all posts
Friday, 17 February 2017
Sunday, 12 February 2017
NAPE APIGA ‘STOP’ ZUIO LA TCRA KUHUSU TV ZA MTANDAONI
Siku chache baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kudaiwa kuzuia uendeshaji wa runinga za mtandaoni (online TV), Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametengua zuio hilo.
Nnape ameeleza kuwa ameamua kusimamisha zuio hilo kwakuwa halitakuwa na tija kwa wakati huu kwani kanuni zinazotoa muongozo wa namna ya kuendesha maudhui ya mtandaoni bado ziko kwenye
Wednesday, 8 February 2017
Thursday, 5 January 2017
Tuesday, 6 December 2016
MATAIFA YA ULAYA KUTUMA CHOMBO SAYARI YA MARS
Mawaziri wa utafiti kutoka bara
Ulaya wanaokutana mjini Lucerne, Uswizi wamesisitiza kwamba mpango wa
kutuma chombo maalum kinachoweza kusafiri kwenye sayari ya Mars mwaka
2021 bado utaendelea.
Wameahidi kutoa jumla ya euro €436m ambazo zinahitajika kufanikisha mpango huo.Mradi huo umechelewa kiasi na unagharimu pesa zaidi kuliko ilivyotarajiwa, jambo lililoibua wasiwasi kwamba mataifa wanachama wa Shirika la Anga za Juu la Ulaya (ESA) huenda wakaufuta
Friday, 2 December 2016
MELI YA TITANIC YAONEKANA CHINA
China kutengeneza meli inayofanana na 'Titanic' BONYEZA picha hapo chini kuiona video
Mashua sawia na iliyotengenezwa
katika mji mkuu wa Belfast huko Ireland ya Titanic itawekwa katika eneo
la kumbukumbu la theme park nchini India.
Ujenzi huo wa mashua
hiyo yenye urefu wa kina cha mita 269, itawekwa katika hifadhi iliyoko
mashambani , katika mkoa wa Sichuan, .Sunday, 27 November 2016
Sunday, 20 November 2016
Wednesday, 2 November 2016
AINA TATU YA MAWAZO YANAYOZUIA USHINDWE KUFANIKIWAA
Kiasili binadamu tumepewa uwezo mkubwa wa kufikiri ukitofautisha na
wanyama wengine. Uwezo huu tulionao huwa unakuja hasa kutokana na
matumizi ya mawazo au kufikiri kwetu. Kufikiri huko ambapo tunafanya
kila siku na kila wakati ndipo kunapotufanya tuwe na maisha ya aina
fulani, haijalishi yawe ya mafanikio au kushindwa.
Lakini hata hivyo wengi wetu huwa tunafikiri au tuna mawazo ya kimazoea na kushindwa kutambua kwamba hayo mawazo yetu pia yamegawanyika. Kwa mawazo yoyote uliyonayo mara huwa yamegawanyika katika sehemu. Kwa mfano unapowaza wazo fulani, wazo hilo linakuwa lipo moja

Friday, 26 August 2016
DISAPPROVED GOOGLE ADSENSE ACCOUNT
Have your Google adSense account is disapproved ??? Are you worried about that ???...so this article will tell you, why your account is disapproved and what you can do to approve it or what other than you can do. Google is very strict to their policies and they have made different policies for different countries. They always keep on reviewing and editing all these for the benefits of publisher as well as advertiser. New users need to have some patience in their mind. For new users and even old bloggers they need some points to be followed right from ...
Tuesday, 5 July 2016
HISTORIA YAANDIKWA: KIFAA CHA NASA, JUNO CHAFANIKIWA KUTINGA KATIKA SAYARI YA JUPITA
Wednesday, 22 June 2016
KINGINE USICHOKIJUA KUHUSU HELIKOPTA INAYOTENGENEZWA TANZANIA
SUBSCRIBE HAPA KUONA VIDEO

Gazeti la Zambia, Observer linasema kuwa lengo la ndege hiyo itayokuwa ikibeba watu kwa bei rahisi itakabiliana na matatizo ya uchukuzi nchini humo.
Raia nchini Tanzania wameamkia habari za kushangaza kwamba taifa hilo linaunda ndege.
Gazeti
la Tanzania la Daily News limeripoti kwamba ndege hiyo aina ya
helikopta inakaribia kukamilika na kwamba habari hiyo imekuwa ikisambaa
barani Afrika kwa kasi.Gazeti la Zambia, Observer linasema kuwa lengo la ndege hiyo itayokuwa ikibeba watu kwa bei rahisi itakabiliana na matatizo ya uchukuzi nchini humo.
Wednesday, 1 June 2016
JUA NAMNA YA KUITAMBUA SIMU FEKI
LIKE PAGE YETU HAPA
Kama mtakumbuka serikali ilitangaza namna ya kuzigundua simu feki na orginal leo tutapata kuona kwa njia ya video namna ya kuzitambua simu hizo bonyeza picha kwenda moja kwa moja ktk video husika au shuka chini

Monday, 16 May 2016
UWEZEKANO WA KURUDISHA UHAI WA MAREHEMU WANASAYANSI WAMEKUJA NA HILI MPYA
LIKE PAGE YETU HAPA HUTAPITWA NA HABARI YETU FACEBOOK
Jopo la madaktari linataka kujaribu kurudisha uhai kwa watu wanaofariki kutokana na matatizo ya ubongo baada ya majaribio ya muda mrefu sasa wamekabidhiwa leseni ya kufanyia majaribio kufanya kitu kama hicho
bonyeza picha hii njoo youtube subscribe hutapitwa na habari za matukio yetu kwa njia ya video
uwezekano wa kurudisha watu wanao kufa kutokana na matatizo ya ubongo hicho ndicho shirika la bioquark linataka kukifanya. Bodi ya afya nchini marekani imekubari ombi la shirika hilo na sasa shirika limejikita katika kufanya utafiti na majaribio kurudisha uhai wa mtu aliyefariki kutokana na matatizo ya ubonngo kama vile kansa na salatani ya ubongo. Utfiti huo umepewa jina la ReAnima
project. Kutokkana na swala hilo kampuni hiyo iko mbioni kufanyia utafiti maiti 20 iliyokufa

Subscribe to:
Posts (Atom)