LIKE PAGE YETU HAPA HUTAPITWA NA HABARI YETU FACEBOOK
Jopo la madaktari linataka kujaribu kurudisha uhai kwa watu wanaofariki kutokana na matatizo ya ubongo baada ya majaribio ya muda mrefu sasa wamekabidhiwa leseni ya kufanyia majaribio kufanya kitu kama hicho
bonyeza picha hii njoo youtube subscribe hutapitwa na habari za matukio yetu kwa njia ya video
uwezekano wa kurudisha watu wanao kufa kutokana na matatizo ya ubongo hicho ndicho shirika la bioquark linataka kukifanya. Bodi ya afya nchini marekani imekubari ombi la shirika hilo na sasa shirika limejikita katika kufanya utafiti na majaribio kurudisha uhai wa mtu aliyefariki kutokana na matatizo ya ubonngo kama vile kansa na salatani ya ubongo. Utfiti huo umepewa jina la ReAnima
project. Kutokkana na swala hilo kampuni hiyo iko mbioni kufanyia utafiti maiti 20 iliyokufa
kutokana na salatani pamoja na kansa ya ubongo
utafiti huo utajumuisha majaribio ya kushtua ubongo kwa kupandikiza "stem cells" pamoja na dawa zinazouwa wadudu "pestecides" utafti huo pia utajumuisha kushtua neva na kutumia "lesers" kuweza kushtua ubongo. wanasayansi hao wanamatumaini kuwa cell zitakazopandiizwa katika ubongo zitaanza kufanya kai kwa mwendo wa robot na baada a muda mfupi ubongo utakuwa na uwezo wa kuzalisha cell wenyewe na hivyo kuweza kufanya kazi wenyee bila msaada wowote
Matokeo ya awali yanatarajiwa kuonekana ndani ya miezi miwili ijao
CHANZO NA fortune.com
hii kwa faida tu jifunze kitu kutokana na facebook hapa

No comments:
Post a Comment