Tuesday, 21 July 2015

Nay wa Mitego kamvalisha pete Shamsa?, Rabbit katua kufanya video, Crazy GK kauzungumzia muziki wa TZ..#255 (Audio)

LAYIII
sham
Rabbit msanii kutoka pande za Kenya amedondoka Bongo kufanya video na G Nako, Joh Makini,Rich Mavoko..amesema amekuja kufanya kazi na Director wa huku..anataka kujaribu kufanya kazi na watu mbalimbali.
rabit
Rabbit
Pia mkongwe kutoka ECT, Crazy GK amesema kitu kinachomis kwenye muziki wa Tanzania ujuzi wa muziki…wengi wanajaribu bado hawana ujuzi wa kutosha kwenye muziki..

gk
King Crazy GK
Jana kupitia ukurasa wake wa @Instagram Shamsa Ford alimshukuru Nay wa Mitego kwa kumvalisha pete…Nay amesema amempa tu pete kama zawadi na si kumvalisha..amesema anaona hiyo ni zawadi ambayo ataweza kumkumbuka nayo tofauti na zawadi nyingine…amesema kama itakuwa vinginevyo atakuwa tayari kuweka wazi.
shamsa
Nay wa Mitego na Shamsa Ford
Wasikilize hapa wakihojiwa na kipindi cha XXL…


No comments:

Post a Comment

advertise here