Tuesday, 24 March 2015

Nimeshare na wewe hizi Pichaz kutoka Maisha Club show ya Meninah

4X7A0999
Siku ya juzi March 21 2015 staa wa muziki Bongo, Meninah alifanya party na watu wake wa nguvu hapahapa Dar ambapo party hiyo aliifanya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

kama miundo mbinu tanzania ni mizuri basi swala la mafuriko tanzania tutaweza epuka embu cheki mvua ilivyo fanya kitu mbaya dar jana

Na swaxbz layiiiiiiiii
DSC_4736Kwenye zile zilizoandikwa magazetini na kuchambuliwa kwenye Power Breakfast @CloudsFM leo March 23, iko story ya watu watano kufariki kutokana na mvua iliyonyesha Dar, makundi mbalimbali kuibuka uchaguzi wa Urais 2015 na stori ya albino kulindwa kwa teknolojia ya simu ya mkononi.

Yemi Alade alivyo wapagawisha fans wake italy…

yemi6Yemi Alade yupo Rome italy akiendelea na ziara yake ya kimuziki ambapo akiwa nchini humo alifanya shoo ya aina yake iliyopokewa na mashabiki kwa furaha na mashabiki ambao walifurika kumshuhudia

advertise here